Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya muda huu wakuu, Huu ni uzi maalum kuwakumbusha wanaume wenzangu. Kuna hii tabia ya wanaume kuwachekea chekea marafiki wa kike wa mpenzi/mke wake, hao ni haki na halali yako kuwatafuna...
9 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari zenu wanajukwaa? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa na msichana ambaye ni muda mrefu tuna date kama miezi 3 ivi. Shida kubwa ninakuwa sijui anaumwa ninimaana tukiwa tunasex nikiigiza uume seemu yake ya siri inatoka harufu kali sana. Mara...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Wakuu hivi huwa hayo maneno mawili hapo juu huwa yanakuwa na maana gani, maana naona yanatumika sana kwa wakati huu?
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Ama kweli kuishi na mke kunahitaji uvumilivu Sana Nimekuwa na mwanamke huyu almost miaka 8, tuna watoto wawili. Mke wangu ni muajiriwa na analipwa vizuri tu,siku za nyuma tulikuwa tunaishi kwa...
20 Reactions
111 Replies
11K Views
Any interested lady Pm.. Gentleman Pirate Umri: 28 Dini: muislamu,mkristo Sifa: mcheshi Kazi: askari Elimu: mhandisi Mkoa: Arusha,Manyara Mwanamke Anayejielewa na kujua anachofanya Umri wowote...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
WANAUME TUACHE HIZI MAMBO: Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi. Lakini kabla ya kuondoka tulikubaliana tumtafute binti...
26 Reactions
42 Replies
5K Views
Imagine if only men lived in this planet Earth of ours, what kind of a planet would it be? I mean women are the ones beautifying the world even more. I know we have beautiful sceneries and the...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanazengo... Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 Najishungulisha na biashara kwa sehemu kubwa ya maisha yangu, Natafuta mke, umri kuanzia 25 na kuendelea... Kabila siyo kikwazo kwangu...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
UTANGULIZI Najua kuna mtu atakuja hapa kusema kuwa "Asubuhi yote hii nawaza mapenzi? Kwani hili jukwaa limewekewa muda maalum? Wee piga kazi tuache sisi tujadili mapenzi. Ukisha kuwa huru sasa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Waambiwa wanawaletea wanaume mfadhaiko Uganda seeking miniskirt ban The minister said wearing a miniskirt was akin to going naked Uganda's ethics and integrity minister says miniskirts...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi? Na rafiki yangu tunapiga kazi sehem moja sasa alibahatika kupata mpenzi ni mama wa miaka42 hivi, huyu mama ni anapesa sana ana biashara zake kibao znamwingizia pesa bado...
18 Reactions
115 Replies
9K Views
"I'm so happy My wife cheated with a married man and his Wife beat her up. Ain't God great?" When they say God works in mysterious ways they mean this event, such a sad and beautiful story...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba nitoe ya moyoni. Hivi mtu unakuwa na kazi yako ya kando, ina mtoto, huwa unapata shida kuwasiliana nayo kwenye whatsapp videos na hata social networking nyingine. Sababu ni kuwa simu yake...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa 31.muhitimu wa shahada ya fedha na bank pale chuo cha usimamizi wa fedha IFM miaka kadhaa iliyopita kwa sasa ni mwajiriwa wa tasisi moja ya fedha hapa mjini DSM.Nina...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka 50 hana pesa ataipata lini? Alifanya nini duniani katika miaka yake 50?
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna muda bana wanawake wapo mguu ndani mguu nje. Unaweza kumtongoza akakubali kiaina. Anasubiri tu ujiongeze. Ewe kijana / mwanaume / Baharia pindi uonapo majibu haya ujue ni [emoji106] 1...
19 Reactions
90 Replies
11K Views
Wakuu, sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu. Imekuwa ni mazoea sasa, kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba. Wale...
4 Reactions
71 Replies
10K Views
1. Baby nina shida na elfu 50 2. Mpenzi kodi yangu inaisha 3. Honey gas yangu itakata muda si mrefu 4. Mume simu yangu kioo kinasumbua 5. My mama anaumwa! Nahitaji nauli kwenda kumuona 6. Luv...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom