Natafuta Mwanamke/Binti wa kuoa

Watakuja jf wako wengi........kuna wale ambao kila uzi wa kutafuta wachumba wanajitokeza wanakuja kucoment soon.

Single moms, wasichana wanafunzi nao wamo humu wanajifanya wadada wakubwa, ladies ambao bikra zilishatolewa 30yrs ago nk wote wamo utachagua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya watu wanaonishangaza ni wanaotafuta wachumba kwa mtindo huu, na waislam mnapenda sana huu mchezo.
Bro haujawahi kuwa kwenye mahusiano?

Angalia usije ukaoa furushi.
 
Assalaam alaykum Warahmatullah Wabarkatuh!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31, dini yangu ni muislam, ni mwembamba wa wastani pia ni mrefu, rangi yangu ni maji ya kunde, elimu yangu ni form IV na nimeajiriwa na kampuni moja ya usafirishaji fedha na vitu vya thamani hapa mjini.

Mwanamke/Binti ninayemuhitaji
Awe na Sifa zifuatazo;
1.Muislam mwenye kuijua dini yake.
2.Awe na hofu ya Mungu.
3.Awe tayari kuishi maisha ya ndoa/mke na mume
4.Mwenye maadili mema na kujistiri mwili wake.
5.Rangi yoyote ila kama ni mweupe asiwe amejichubua.

RAMADHAN KARIIM.
Umri umenikosesha mume
 
Ulipata mkuu
 
Njoo pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom