50/50 kwangu hapana, gander equality ni ujinga

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,643
Sitaki kukubali kua mimi na mwanamke tuko sawa, hii habari ya 50/50 it's a whole complete stupidity package. I dont want to see, smell or feel.

Huu ujinga wa usawa hautakuja tokea na sote tunajua nivile pia I have a hash way of saying the trueth itabidi mnizoe haa ha haa ha

I appriciate, respect and LOVE and shall ALWAYS protect, care and embrase women who accept their gander and play their roles as women ila nyie wa usawa, wa 50/50. Well, get behind me toxic creatures.

Povu ruksa, as a matter of fact hua nafurahia kusikia ujinga wa mafeminist. Sasa mkuje, tena mkuje mmevaa pedi mapema.
 
Hapa shida inaonekana wengi hawaelewi 50/50 kwenye nini hasa... ? Majukumu na wajibu kwa kila mmoja yataendelea kama kawaida.Isipokuwa pale ambapo kuna ubaguzi wa haki. Iwe sawa kwa kila mmoja kwenye nyanja zote:
1. Elimu wote wanastahili haijalishi mtoto wa kike au wa kiume.
2. Afya wote wanastahili afya bora
3.Ajira zitolewe bila ubaguzi
4.Nafasi za Uongozi zisijali jinsia,hapa ndo kuna mifano mingi jinsi jinsia Ke ilivyodhihirisha uwezo e.g Mama Samia Suluhu,Tulia n.k.
Otherwise, jukumu la Ubaba atabaki nalo Mwanaume na pia jukumu la Umama atabaki nalo Mwanamke na wala sio jambo la stigma.
 
Unashindana na upepo ? Dunia imeshaamua hivyo nchi yako imetia sahihi UN kukubali hayo halafu wewe unapinga ? Ushauri kwako aidha badilika au utaishia Jela na ukitoka huko ndiyo utakuwa feminist zaidi ya mafenist, sasa hivi kuna dawati la jinsia kila mahali na wanaongezewa power, ...
 
Hivi lile dawati ni la jinsia au la wanawake!!???
 
Hapa shida inaonekana wengi hawaelewi 50/50 kwenye nini hasa... ? Majukumu na wajibu kwa kila mmoja yataendelea kama kawaida.Isipokuwa pale ambapo kuna ubaguzi wa haki. Iwe sawa kwa kila mmoja kwenye nyanja zote:
1. Elimu wote wanastahili haijalishi mtoto wa kike au wa kiume.
2. Afya wote wanastahili afya bora
3.Ajira zitolewe bila ubaguzi
4.Nafasi za Uongozi zisijali jinsia,hapa ndo kuna mifano mingi jinsi jinsia Ke ilivyodhihirisha uwezo e.g Mama Samia Suluhu,Tulia n.k.
Otherwise, jukumu la Ubaba atabaki nalo Mwanaume na pia jukumu la Umama atabaki nalo Mwanamke na wala sio jambo la stigma.
Boss bado haujaandika. How comes mtu aseme eti uongozi nao uwe 50/50? Kwani uongozi unauchukuliaje hapa? Kama source of income au kama uwezo wa kuiongoza jamii? Kwa nini kiomgozi asioatikane kwa ajili ya uwezo wake badala yake apate uongozi kwa ajili ya jinsia yake?? This is stupidity. Na hapa ndo wazungu wanapotudanya sisi waafrika na 50/50 katima uongozi na bunge. Wanajua kabisa wanawake theybare weak. Wanajua itakuwa rahisi kwao kupenyeza wizi wao huku Afrika. Mhona hakuna nchi yoyote huko Ulaya ambayo ina uongozi wenyewe wa 50/50?
 
Yani wewe ndo kiazi kweli, sasa mwanamke akishakua na huo usawa wa uongozi majukumu yake kama mke atayatekeleza vipi.

Yani we ndo moja ya makunguru, unatoa na mfano Samia flani flani akiwa ziarani nje ya nchi nani aleo watoto ?
Yeye mwenyewe Samia huwa anasema kabisa anawaomba msamaha wanae hawapati muda wa kuwa nae. Anatamani angekuwa na muda wa kukaa nao
 
Huu msimamo binti yako atakapoolewa pia utampa au ikija Kwa binti zako utataka wapewe hizo 50/50..?
 
Mkuu, Mimi siungi mkono 50/50 ila natamani ungetumia tu lugha ya Taifa, nimejionea miujiza mno humo ndani..!
 
Hapa shida inaonekana wengi hawaelewi 50/50 kwenye nini hasa... ? Majukumu na wajibu kwa kila mmoja yataendelea kama kawaida.Isipokuwa pale ambapo kuna ubaguzi wa haki. Iwe sawa kwa kila mmoja kwenye nyanja zote:
1. Elimu wote wanastahili haijalishi mtoto wa kike au wa kiume.
2. Afya wote wanastahili afya bora
3.Ajira zitolewe bila ubaguzi
4.Nafasi za Uongozi zisijali jinsia,hapa ndo kuna mifano mingi jinsi jinsia Ke ilivyodhihirisha uwezo e.g Mama Samia Suluhu,Tulia n.k.
Otherwise, jukumu la Ubaba atabaki nalo Mwanaume na pia jukumu la Umama atabaki nalo Mwanamke na wala sio jambo la stigma.
Namba 4 ndo umezingua na wewe
 
Back
Top Bottom