Tunaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, tunawa 'snitch' wasiotumia waonekane wazembe kitandani.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wanajamvi,

Kwanza nikiri kuwa, nimekwisha tumia Puturu maarufu kama vumbi la Kongo ili niweze kupiga show extraordinary!

Kwa ilichonifanya Puturu, Kusema kweli nimeacha kabisa sitotumia tena dawa yoyote ya nguvu za ziada kwa ajili ya show. Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo - JamiiForums

Kwa wale wote tunaotumia dawa za kuongeza nguvu za kufanya mapenzi, tuache kabisa maana, tunawafanya wasiotumia waonekane wazembe kitandani.

Maana leo wewe unatumia dawa, unafanya show lisaa bila wazungu kutoka demu anakuona jembe. Demu huyo huyo anakutana na msela asiyetumia dawa, msela dk 15/20 tu, wazungu haooo.. Anaanza kumwona msela mzembe anapofanya comparison.

Pia hizi dawa ndiyo husababisha wanawake kuchepuka maana wanakimbilia kule wanakopigwa show ndefu.

Nitoe Rai kwa wanawake pia, muwe mnatuelewa pale tukifunga goli mapema. Ndiyo nature ilivyo. Mnapokuwa hamfurahi tunapofunga mapema, ndo mnatufanya tufikirie masuala ya dawa sasa.

Nitoe pia rai kwa wanaume, kama unakojoa mapema, usitume dawa zina madhara kiafya, tuache punyeto, tupige mazoezi, tule vizuri na tuwe tunawekana wazi na wapenzi wetu kuhusu hali zetu. Naamini tukifanya hivi, njia mbadala ya kuwafikisha kileleni itapatikana tu.

Ahsante.

Mjina Mrefu...
 
Nawahi namimi leo daaah,ila nyeto sio poa
 
tapatalk_1540550343925.jpeg
 
Mtakuja kutuua....... - JamiiForums
 
Back
Top Bottom