Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yasmin ni mwanamke mrembo. Tatizo kubwa alikokuwa nalo Yasmin hakuweza kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Akiwa kwenye mahusiano, huyo mwanaume akisafiri lazima apate Kiserengeti cha...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Habarini wadau wa jukwaa pendwa, Kama kichwa Cha habari hapo kinavyosema. Katika shughuli zangu nilikutana na dada mmoja ambaye kiumri kanizidi sana japo hajachuja yupo kwenye ubora. Na yeye...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
1. Unaempenda kamwe hatokupenda bali atakudanganya. 2. Anaekupenda kweli utampotezea na utamkimbilia mwenye maumivu na mateso. 3. Ukihitaji furaha kutoka kwa unaempenda mara nyingi huishia...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwanzoni nilikuwa na kitambi cha kishkaji (Kitambi cha Ki'Bank Teller). Nikaona nizame zangu Gym. Kama kijana nimeona mabadiliko fulani fulani hivi tangu nianze mishe za kujiweka Fit ki mwili...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
At Ceteris peribus hapa ntajikita kwenye utamu wa vanila asili sio mambo ya maujanja maana maujanja yangejaa makabila ya tanga na pwani kwa ujumla hapa tunaongelea majaaliwa ya asili ni ifuatavyo...
7 Reactions
153 Replies
87K Views
Kwa mujibu wa mtaalamu wa Psychiatry, magonjwa ya akili miongoni mwa wakina mama walioko kwenye ndoa ni mengi sana na yanawasababishia kufanya mabaya kwa wenzi wao, mfano ndo kama huu hapa: Picha...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume japo sio moja kwa moja huyo jamaa ana kazi nzuri tu lakini rafiki yangu ni jobless. Jamani huyu dada anafanya majukumu yake yote kama mke akiwa na jamaa yake...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Aisee,salami wa ndugu wa jf. Kama heading inavyosomeka, chukulia mfano umeoa single mother kama na motto wake wa like alizaa huko na jamaa wakazinguana,DOGO kaja nae ana miaka 10 umesomesha had I...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
1.Hakuna mwanamke ambae anaweza kukwambia ukweli kuwa ashatoka na wanaume wangapi kabla ya kuwa na wewe. 2.Unapokuwa kwenye mapenzi mapya usijisahau kwa kujionyesha,kuongea na kuringishia, siku...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini? Kumpigia mpenzi wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea ni kumnyima Uhuru? Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika...
26 Reactions
684 Replies
36K Views
Wako habari zenu. Mara kadhaa nimekuwa nikileta mada juu ya mahusiano yangu na kwa kweli nashukuru sana wanajukwaa kwa ushauri mbalimbali ambao kiukweli nimefaidika sana. Baada ya mivutano mingi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kila mtu ana namna yake ya upendaji namimi leo sio mbaya nikashare nanyie jinsi ninavyompa marks mwanamke hadi inafikia namtokea yeye nasio wenzake. - Kitu cha kwanza na kikubwa utakachopata...
14 Reactions
107 Replies
9K Views
Niko na jamaaa hapa kanipigiaa anakaa makumvusho anaulizia kama kuna sehem kuna akina dadapoa mitaa ya makumbusho au kijitonyama aende kupata rahaa. Maana amesema kachoka kwenda sinza kila sikuu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wewe na mpenzi wako mnapoanza kuishi pamoja, matatizo yatatokea. Yanaweza kuletwa na tofauti za kufikiri, hisia, na malezi yenu. Au huenda yakasababishwa na mambo mengine na hali zisizotarajiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu Tuendelee kuchangamsha jukwaa letu la MMU. Je, wewe ni baba wa familia na kwako kuna Housegirl? Je, wewe ni mtoto wa kiume na home kwenu kuna Housegirl? Je, we baba/mtoto wa kiume umewahi...
11 Reactions
39 Replies
7K Views
Ma gym master jiheshimuni sana na mheshimu kazi zenu, mmekua mnafanya ambayo sio yanayohusiana na kazi yenu. Mmekua mnatongoza wake za watu na wadada warembo wanaokuja kufanya mazoezi kwenye gym...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
By Pst Samuel Olagbenjo 1. LOVE her like a wife Men, Our wives are the best thing that has happened to us after our salvation. When Adam was created and placed in the Garden of Eden, despite all...
11 Reactions
108 Replies
9K Views
UKWELI JUU YA KUOA 1:Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe >>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika. 2:Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio...
16 Reactions
45 Replies
5K Views
Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme... Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima...
4 Reactions
101 Replies
13K Views
Back
Top Bottom