Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao .... On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume...
12 Reactions
70 Replies
6K Views
1 Ulimi Wake 2 Na Mikono Yake 3 Na Miguu Yake 4 Na Macho Yake [emoji257] MAANA YAKE 1 ULIMI WAKE UWE MFUPI Maana Yake Asiwe Muongeaji Sana Na Kubwabwaja Maneno Ovyo Ovyo Kutoongea Sana Ni...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa msaada wa wengine TUJIFUNZE Upo na Ex/mchumba wako labda mmejuana ndan ya Masaa/Siku kadhaa au Miezi/Miaka tuseme ndo BIDADA hajajiongeza sasa unajiongeza wewe Em taja njia ambayo unatumia...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Siku moja katika matembezi jioni nikiwa na mpenzi wangu, Ikatokea tukatekenyana tekenyana zikapanda! Ilikuwa mida ya saa mojamoja tukasogea kwenye nyumba moja iliyokuwa katika hatua ya ujenzi wa...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
Mambo yenyewe ni hivi, Nimekua nikizozana na mchuchu mara kwa mara eti anataka niwe namhudumia kidume nimegoma. Nimeushikiria msimamo kwamba atahudumiwa mpaka nitakapomuoa. Nimemwambia wazazi...
9 Reactions
81 Replies
5K Views
Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wanandugu, Kuna dini zinazotoa ruhusa mume kuoa mke zaidi ya mmoja, kama uislamu unavyoruhusu hadi wake wanne. Je, mume huyu akitaka kuburudika na wake zake wote kwa wakati mmoja...
9 Reactions
132 Replies
12K Views
Najua kuna watu wameanza kupanick. Simaanishi dirisha ulilowaza wewe, nina maanisha muda maalumu ambao Mwenyezi mungu amewatengea ili kuhakikisha mnapata Mwanaume. Mwanamke yuko kidogo na...
13 Reactions
87 Replies
7K Views
Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points. 1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Aisee! Wakati mwingine katika mahusiano kuna vibwanga vingi hasa pale wanawake wanapotofautiana tabia na mienendo ila wakati mwingine wanaume huwa tunaangalia ni wanawake gani wa kudate nao. Kwa...
7 Reactions
268 Replies
23K Views
Anyway hawa viumbe(ke) sijui mpewe nini ili mjue mnapendwa damn it. Mtu unampa muda, respect, love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani ghafla tu aisee nimekumbuka humu ndani kuwa...
16 Reactions
105 Replies
9K Views
Kijana mmoja alitaka kumuoa mke wake ila alipingwa vikali na ndg wa familia wakisema kwamba huyo si mke wa kuoa, lakini mwanaume yule alisimamia misimamo wake ule ule na kusema kwamba" Mungu...
9 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ndoa na mapenzi, watu wengi wanadhani kwamba kumpenda mtu ama wote wawili kupendana kunatosha kabisa kuingia katika ndoa la hasha. Mapenzi ni hisia za ndani kabisa...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Achana naye.. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele. Achana naye. Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapenzi wawili walipendana sana tangu wakiwa shuleni na waliahidiana siku moja waje kuoana na kujenga familia Baada ya kuhitimu masomo yao kijana alipata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi. Kabla...
2 Reactions
3 Replies
831 Views
Habari wakuu, tusichoshane niende moja kwa moja kwenye hii kitu iliyoniacha kinywa wazi kiasi kwamba kama ni Corona basi ingepita bila kipingamizi! Nilifika geita kutoka Dar katika harakati za...
66 Reactions
232 Replies
26K Views
Amenikimbia, hapokei simu tena, hanipigii, hajibu sms, anadai yuko busy kila saa, haji tena, hana time na mimi;Haya maneno yamekuwa yakijitokeza repeatedely humu. Huwa siandikagi kwenye jukwaa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
I remember pindi nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kushika hili gobole langu huku nikilivutavuta basi baadhi ya wakina mama wa marafiki zangu enzi hizo wananikataza nilikuwa nalia but my mom...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi mpenzi wako wa kike akikuomba pesa ukamtumia then baada ya muda mfupi akakwambia alikua anatania uirudishe tu. Je, utachukua uamuzi gani?
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom