Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,345
Reaction score
10,840
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini? Kumpigia mpenzi wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea ni kumnyima Uhuru? Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwa kweli nishaurini sielewi
 
Inategemea kawaida ukimpigia simu mnaongea nini.
Kama simu zako ni za maswali ya "upo wapi","unafanya nini", "mbona umechelewa kupokea"
basi hapo huenda jamaa akahisi anabanwa.

Hii ya "kuwa kwenye mahusiano na kuishi kama haupo kwenye mahusiano" yahitaji
nyama zaidi kabla ya kutia neno.
 
Anamaanisha hana uhuru labda kwa sababu unambana anashindwa kufanya mambo yake(unamfatilia sana), unakuwa kikwazo kwake au huenda upendo umekufa hawezi kukwambia direct anaona atumie mbinu nyingne ili ujumbe ukufkie.
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Uhuru ktk mahusiano ni mada pana mno. La muhimu kila moja wapo anapaswa kumuamini mwenzake bila kutaka kujua ya ndani "yalikuaje... unafanya nini hapo... "na mengineo. ili upate uhuru ktk mahusiano yako ni vyema usitake kujua kila kitu cha mwenzako bila ruhusa. Kujifanya kiziwe na kipofu ili uzidishe kuenshi na furaha ndani ya mahusiano yako...
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Una uhakika huyo jamaa sio mume wa mtu mkuu?
 
If you are in a true relationship, forget about true freedom.
Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...

Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndugu yako Ni Wewe?
 
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Pole sana dada wa watu!
 
Huyo jamaa hakupendi na kama ni penzi jipya na ushampa mnyanduo basi hapo hesabu imeisha
 
Inategemea kawaida ukimpigia simu mnaongea nini.
Kama simu zako ni za maswali ya "upo wapi","unafanya nini", "mbona umechelewa kupokea"
basi hapo huenda jamaa akahisi anabanwa.

Hii ya "kuwa kwenye mahusiano na kuishi kama haupo kwenye mahusiano" yahitaji
nyama zaidi kabla ya kutia neno.
Nikipiga coz alisema yupo njiani kurudi home ..ilikua sa nane..nikawa natuma msg hajibu...nikapiga coz nikitaka kuonana nae...coz anasafiri kesho...anasema kuonana haikua kwenye ratiba yeye hawezi vunja ratiba zake.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...KHAAAAAAAAAAAA

Sasa hapa ndoa Mimi kwakweli itakuwa ngumu kufungwa...Mambo yashakuwa Magumu mwanzo kabisa.
 
Back
Top Bottom