Hizi ndio calculation zangu ninapomtafuta mwanamke

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,552
2,000
Kila mtu ana namna yake ya upendaji namimi leo sio mbaya nikashare nanyie jinsi ninavyompa marks mwanamke hadi inafikia namtokea yeye nasio wenzake.

- Kitu cha kwanza na kikubwa utakachopata marks kubwa kutoka kwangu ni mkia, aisee ukishakuwa na mkia basi ushanimaliza unakula alama A yako saafi.

- Cha pili napenda mwanamke mwenye nyonyo kubwa mie mwenzenu ndo ugonjwa wangu hapo basi utapata B+ saafi

- Cha tatu ni kwenye kitovu hapo basi kama uko na tumbo flat aisee una B+ yako mapema sana.

- Cha mwisho namaliziaga kwenye guu, kama uko na guu la bia guu fulani hivi kama lile alilokuwa nalo zari basi pale unapata A yako mapema sana.

Mimi sura na sijui elimu huwa siangaliagi kabisa hivo vitu navipa neutral marks yaani sio vipaumbele vyangu. Huu ndo mfano wa calculation zinavyofanyika:

Mfano 1: mkia upo A, nyonyo ipo B+, tovu
B+, guu A = jumla (18/20)

Mfano 2: mkia hakuna C, nyonyo ipo B+, tovu ipo B+, guu la kawaida B+= jumla (14/20)

Mfano 3: mkia upo A, nyonyo B+, tovu B+, guu la kawaida B+ = jumla (17/20)

Hapo manzi wa kwanza anakuwa na marks nyingi basi automatically anakuwa selected. Hiyo ndo njia yangu kila mtu ana njia zake kama unanjia tofauti unaruhusiwa nawewe kuweka hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom