demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Mwanzoni nilikuwa na kitambi cha kishkaji (Kitambi cha Ki'Bank Teller). Nikaona nizame zangu Gym.
Kama kijana nimeona mabadiliko fulani fulani hivi tangu nianze mishe za kujiweka Fit ki mwili. Nimegundua pia Mabinti ni viumbe vya macho. Kadiri siku zinavyozidi kusonga naona idadi ya mabinti kunishangaa inaongezeka maradufu.
Tuondoe vitambi na nyama nyama zisizo na maana. bila hivyo Demigod atawasaidia kuwaburudisha warembo wenu.