chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
Kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume japo sio moja kwa moja huyo jamaa ana kazi nzuri tu lakini rafiki yangu ni jobless. Jamani huyu dada anafanya majukumu yake yote kama mke akiwa na jamaa yake mfano kupika kufua na mengineyo lakin jamaa hampi hata sh moja ata akiomba ya vocha jero tu hampi dada wawatu mpak akanyoa nywele zake hata kumpa hela ya lotion hataki mdada kapauka kwa kukosa matunzo
Huyu mdada muhangaikaji sema kakosa kamtaji bas akamuomba mtaji kamnyima Lakini huyo mkaka ana wanawake kama wote anahonga mpaka shetani anaogopa. Hana mwanamke wake mmoja hivi akikohoa laki yaan kwa wiki anawez kupewa ata laki tatu.
Sasa kabla ajaingia mahusiano na huyu jamaa kivuruge alikuwa na ex wake sasa ex wake ndo anamsaidia kumtumia ata vijero vya vocha na huyu jamaa yake wa sasa anajua kama mwanamke wake anatumiwa vocha na jamaa yake wa zamani ndo kwanz anamwambia mwambie akutumie elfu tano na Mimi unitumie tugawane
Leo rafiki yangu akamtega fulani kanitumia elfu 25 anatak niende alipo yule jamaa akamjibuje sawa kwanz Katoe hizo hela uninunulie maziwa ninywe
Sasa jaman kuna upendo hapa au uzungaji