Vimbwanga vya Housegirls...

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu

Tuendelee kuchangamsha jukwaa letu la MMU.

Je, wewe ni baba wa familia na kwako kuna Housegirl? Je, wewe ni mtoto wa kiume na home kwenu kuna Housegirl? Je, we baba/mtoto wa kiume umewahi kula tunda la binti wenu wa kazi? Ilikuaje?

Well, upande wangu Wakat nakua, kwetu hatukuwahi kuwa na Housegirl. Ila baada ya kuoa, wife alileta house girl kutoka kwao Tanga. Kimsingi huyu dada wa kazi alikua mkali kiaina na shape ilikua matata.

Kwakua mimi ndo nilikua nawahi kurudi home, Housegirl alikua akinitega tega kwa kanga moja, siku moja alinifataga hadi room nikiwa nimelala. Akaja akanilalia juu nikashtuka mtu ananishika shika kifua... Kuuliza vipi, akasema anataka shughuli.

Sikulaza dam nikajipakulia saaaafi. Ukawa ndo mchezo wetu hadi akapata mimba. Ikabidi nimpangie chumba sehemu flan hapa dsm na kumpa mtaji wa kuuza nguo za mitumba. Saiv ashajifungua na mtoto ana miaka 2. Biashara pia imesimama imara anafungua belo mwenyewe na anauza jumla.

Siku moja moja napita kwake kukumbushia.

Vipi wewe, ushawahi pita na Housegirl wenu, ilikuaje? Matokeo yake yalikua vipi?

Tiririka..
 
Mbona hutuambii reaction ya mke wako kwa ufuska wako huo????
 
Hata mie nimeona tumedanganywa tu hapa. Binti wa kazi hawezi kupata ujasiri kama huo kama hujawahi kumtakia au kumuonesha dalili za kumtaka.

All the same, katika mazingira ya kawaida hata kama binti angepata ujasiri wa kufanya hivyo, usingempa ushirikiano right away. Labda kama katumwa na mke wako akutege je? Lazima mawazo kama haya yangekuja kichwani tu na usingejiachia jumla na kulala naye.

Peleka uShihongo wako huko!!!!!
Kipindi cha nyuma sana nilishapandisha nyuzi mbali mbali kuhusu huyu beki 3 mmoja wapo huu hapa.. Pita humo ukasome

 
Stori inafurahsha Japo imeongezew Radha

KwahYo mke0 hakujua Lolote.
 
Ali mind yakaisha
Yakaisha just simple like dat

Huyo lazima itakuwa Alisha kulipizia waweza kukuta analiwa na nduguyo yako au mshikaji wako ... Hao kwa visasi acha kabisa akikuambia amekusamehe hamaanishi
 
Back
Top Bottom