Tokea hii corona ianze una muda gani hujafanya sex? Mimi nina week ya 4 inaenda kuwa ya 5. Hii corona na iishe sasa. Nawaza siku ikisha corona sijui itakuwaje. I miss ma babe, i miss having sex...
.. .. Niko msimbazi B . uyo ndani ya mwendo kasi purukushani za APA na pale, bahati mbaya uyu lady kasimama mbele yangu, aagh sipendi "scenario" ka iz. Yuko ndani ya baibui.. Ushungi juu. A bit...
Nawaza hivi nikiwaambia vijana tunaobishana nao humu kila kukicha kwamba sisi tumeanza mapenzi kabla ya social media yeyote ile kuanza kutumika hapa Bongo na wala hakuna namna unaweza kutongoza...
Habari za Jioni
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24 nimeajiriwa Serikalini Nina mwaka mmoja katika taasisi kubwa hapa Dar es salaam.
Changamoto kubwa ninayoipata kutokana na malezi yangu sio...
Habarini JF
Katika maisha yetu tumekuwa tukisikia au kuhubiriwa kuwa mke mwema anatoka kwa bwana yaani ili upate mke bora yakupasa umuombe mwenyezi Mungu.
Pia, najua unaweza kutumia elimu ya...
Habari za Mida hii Wakuu..
Mnatusqidiaje Sisi Wanaume Ambao Bado Hatuna Mpango Wowote Kuhusiana na Suala la Kuoa.
Hata kwa kuliwaza Tu Hatuna Mpango huo.
Huku Tukiangalia Vigezo vya.
Mali...
Habari ya muda huu wana MMU!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano.
Kutokuwa makini kati ya wenza...
Je, inawezekana mwanaume katika umri wa late 20's (27,28,29) akaamua kwa akili zake timamu na kwa uamuzi wake kuzaa na mwanamke asiyempenda?
Yaani naamanisha mwanaume katika umri huo amuombe...
The same same mother atanuna mwanae wa kiume akioa mwanamke aliyezaa. Possibly akamkataa even. The same same mother atamshukuru Mungu na kutoa sadaka mwanae wa kike aliyezalishwa akipata mwanaume...
Ukiacha kile ambacho ametafuta mwenyewe kwa jasho lake, Mwanamke aliyetoka nje ya ndoa ukagundua na kumuacha anastahili mgao kweli?
Ulilipa mahari, ukamuhudumia Kadri ya uwezo wako, ukamilisha na...
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,
Mwaka Jana...
Kesho naelekea Dar na nimeshampigia X wangu ambae kaolewa na ana watoto wawili.
Ame confirm kutoa mzigo kwani jamaa mida ya mchana atakuwa kazini.
Kweli mtalaka hatongozwi
Katika nyimbo zote za Jaydee naipenda sana hii ya USIUSEMEE MOYO japo katupiga madongo sana wanaume lakini yani ukweli ndani yake, wanawake mkichukua hili funzo mtaishi kwa amani sana.
Fuatilia...
Nipo kwenye ndoa na mke wangu kwa muda wa miaka 5 sasa, mke wangu amekuwa nami bega kwa bega kwa kipindi chote hicho japo changamoto za hapa na pale ni kitu cha kawaida kwenye maisha...
Habari zenu wakuu?
Mimi ninampenda mno mama yangu sijakataa, ila nikiwa Kama baba inaniuma mno kuona mtoto wangu anampenda mama yao kuliko Mimi.
Na wakati wote nawapenda. Mwanaume nateseka na...
Mim Nina sifa zifuatazo
Jinsi Mwanamme
Umri miaka 29
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree
Kazi Nimeajiriwa
Makazi Dar es salaam
Mhusika awe na sifa zifuatazo
Jinsia Mwanamke
Miaka chini ya 25
Dini...
Kumekuwa na kauli ambayo inaegemezwa na uislamu ya kuwa mke mmoja hatoshi kwa hiyo bora wa nne.
Kwanza kauli hii sio sahihi ni kauli ya waislamu na sio kauli ya uislamu ni waislamu wanasema hivyo...
habarini za muda
valentine imekaje kwa upande wako je ni siku gani katika maisha yako
na kuwakumbuka uwapendao kwa upendo waliokuonesha kwa namna moja au nyingine
au ni siku ya sex
mana ndo siku...
Anaandika Mkaka fulani[emoji3578][emoji3578]
Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.