Mke mwema anatoka kwa Bwana (Mungu) Je, mume mwema anatoka wapi?

Rosicky

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
1,159
1,944
Habarini JF

Katika maisha yetu tumekuwa tukisikia au kuhubiriwa kuwa mke mwema anatoka kwa bwana yaani ili upate mke bora yakupasa umuombe mwenyezi Mungu.

Pia, najua unaweza kutumia elimu ya dini kujibu swali hili (sawa) lakini hebu tujaribu kuintergrate elimu ya dini na reality ya maisha ambavyo inatakiwa iwe.

Swali
i. Je mume mwema anatoka wapi?
ii. Je katika maisha hamna umuhimu wa kuwa na mume mwema kama tu ashapatikana mke mwema?
iii. Je huo wema unaozungumziwa ndio huu huu jamii tunaoujua?
iv. Je jamii ina mchango gani katika kutengeneza mume mwema?

Najua hii mada inaweza ikawa ni ya dini lakini naomba tuijadili kijamii zaidi.

Karibuni.. Monday 06:44 October 21
 
Habarini jf

Katika maisha yetu tumekuwa tukisikia au kuhubiriwa kuwa mke mwema anatoka kwa bwana yaani ili upate mke bora yakupasa umuombe mwenyezi Mungu.

Pia najua unaweza kutumia elimu ya dini kujibu swali hili (sawa) lakini hebu tujaribu kuintergrate elimu ya dini na reality ya maisha ambavyo inatakiwa iwe.

Swali
i. Je mume mwema anatoka wapi??
ii. Je katika maisha hamna umuhimu wa kuwa na mume mwema kama tu ashapatikana mke mwema??
iii. Je huo wema unaozungumziwa ndio huu huu jamii tunaoujua???
iv. Je jamii ina mchango gani katika kutengeneza mume mwema??

Najua hii mada inaweza ikawa ni ya dini lakini naomba tuijadili kijamii zaidi.

Karibuni.. Monday 06:44 October 21

Tuanzie hapo hapo kwenye dini. Hivi Eva alikua mke mwema kwa Adamu?
 
Hiyo hapo
20191019_142241.jpeg
 
Habarini jf

Katika maisha yetu tumekuwa tukisikia au kuhubiriwa kuwa mke mwema anatoka kwa bwana yaani ili upate mke bora yakupasa umuombe mwenyezi Mungu.

Pia najua unaweza kutumia elimu ya dini kujibu swali hili (sawa) lakini hebu tujaribu kuintergrate elimu ya dini na reality ya maisha ambavyo inatakiwa iwe.

Swali
i. Je mume mwema anatoka wapi??
ii. Je katika maisha hamna umuhimu wa kuwa na mume mwema kama tu ashapatikana mke mwema??
iii. Je huo wema unaozungumziwa ndio huu huu jamii tunaoujua???
iv. Je jamii ina mchango gani katika kutengeneza mume mwema??

Najua hii mada inaweza ikawa ni ya dini lakini naomba tuijadili kijamii zaidi.

Karibuni.. Monday 06:44 October 21
wanaume ni wema kwa asilia, mwanamke akiwa sio mwema itakuwa kama ile ya Eva na shetani atauza timu.

mwanamke ana ushawishi mkubwa kwa mwanaume.
 
Kwa kawaida Mume mwema hutoka NMB, CRDB, EIXM BANK, AMANA BANK au M PESA, TIGO PESA, HALOPESA, AIRTEL MONEY.
Na mara nyingi pia hupatikana nch kama moja hivi kuingia kwenye waleti au mfuko.
so ukiwa masikini huwezi kuwa mume mwema??
90% ya wa tz ni maskini hapo vip
 
mume hatafutwi ila mwanamke ndo hutafutwa. Thread ifungwe sasa.
Mbona kitaani kuna wanaume mizigo wengi tu
kwa io ni ruksa kibaya kutafuta chema na ikiwa hivyo i think u know wat will happen
 
Huwa nawauliza walokole, Kuna mtu aliwahi letewa mke na Mungu bila kula mingo?
Kutamani huyo mwanamke?
Hakuna aliyewahi nipa ushahidi wa kuwa yeye alikaa tu na kusali na kuletewa mke.
Mke mwema unamuandaa mwenyewe!!
Mungu kakupa akili ya kuchagua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom