Joseeeeee!! Siku hizi unalala sana wanachukua namba yako mkuu. Unakwama wapi?[emoji2]Aisee
Uzee unachangia mastaJoseeeeee!! Siku hizi unalala sana wanachukua namba yako mkuu. Unakwama wapi?[emoji2]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sisi wenyewe huwa hatujui tunataka nini, how comes nyie mjue tunataka nini, tuacheni tu kama tulivyo bro mtaumia vichwa bureeee🤣🤣🤣Mama zetu nao ni wanawake
Turudi hapa, nani aliwai kuwaelewa wanawake wanataka nini????
We play fair@The BossNa Baba je?
Akisikia kesi mtoto wa kiume kampa mimba binti wa jirani anajali?Au anaenda bar?
Ikija kesi dada kapigwa mimba??Panakalika?
Ukianza kuwaelewa wanawake jua unakaribia kufaThe same same mother atanuna mwanae wa kiume akioa mwanamke aliyezaa. Possibly akamkataa even. The same same mother atamshukuru Mungu na kutoa sadaka mwanae wa kike aliyezalishwa akipata mwanaume wa kumuoa
Mimi binafsi nilishawanyooshea mikono, mziki wenu huwa sio wa kitoto[emoji119][emoji119][emoji119]Sisi wenyewe huwa hatujui tunataka nini, how comes nyie mjue tunataka nini, tuacheni tu kama tulivyo bro mtaumia vichwa bureeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The same same mother atanuna mwanae wa kiume akioa mwanamke aliyezaa. Possibly akamkataa even. The same same mother atamshukuru Mungu na kutoa sadaka mwanae wa kike aliyezalishwa akipata mwanaume wa kumuoa
Usipoangalia mkuu utanyoosha hadi miguu, take things easyMimi binafsi nilishawanyooshea mikono, mziki wenu huwa sio wa kitoto[emoji119][emoji119][emoji119]
Nilishawa kununiwa kisa siwachangamkii rafik zakeUsipoangalia mkuu utanyoosha hadi miguu, take things easy