Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nawaza hivi nikiwaambia vijana tunaobishana nao humu kila kukicha kwamba sisi tumeanza mapenzi kabla ya social media yeyote ile kuanza kutumika hapa Bongo na wala hakuna namna unaweza kutongoza bila kutumia barua!wataamini kweli!?
Kipindi ambacho hata kwenye ubongo hatujawahi kuota kina kitu kinaitwa smartphone!
Kipindi ambacho ukichumbia mwanamke hata ukisafiri miaka 5 unakuta anakusubiri!
Kipindi ambacho ilikuwa mwanamke anajiheshimu kweli kweli!
Ngoja niendelee kutafakari nitakuja na uzi kamili