GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Ukiacha kile ambacho ametafuta mwenyewe kwa jasho lake, Mwanamke aliyetoka nje ya ndoa ukagundua na kumuacha anastahili mgao kweli?
Ulilipa mahari, ukamuhudumia Kadri ya uwezo wako, ukamilisha na kumvisha bado amana yako akaigawa nje anastahili vipi mgao mwanamke huyu?
Ulilipa mahari, ukamuhudumia Kadri ya uwezo wako, ukamilisha na kumvisha bado amana yako akaigawa nje anastahili vipi mgao mwanamke huyu?