Kipi kimekufanya usioe hadi leo

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
210
225
Habari za Mida hii Wakuu..

Mnatusqidiaje Sisi Wanaume Ambao Bado Hatuna Mpango Wowote Kuhusiana na Suala la Kuoa.

Hata kwa kuliwaza Tu Hatuna Mpango huo.

Huku Tukiangalia Vigezo vya.

Mali Sijapata Bado!
Bado sijajipanga!
Umri bado Hauruhusu kuoa.
Sijapata Aliye sahihi Hadi Sasa kuoa.

Ushauri unahitajika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom