Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 393
- 896
Je, inawezekana mwanaume katika umri wa late 20's (27,28,29) akaamua kwa akili zake timamu na kwa uamuzi wake kuzaa na mwanamke asiyempenda?
Yaani naamanisha mwanaume katika umri huo amuombe mwanamke azae nae, ilhali hana hisia zozote na huyo mwanamke?
Na navohisi wanaume katika umri huo sio kwamba wanakuwaga na uhitaji sana wa watoto, atleast wale waliofika umri wa 32 na kuendelea.
Je ni nini kitakuwa kimepelekea huyo mwanaume kuchukua maamuzi kama hayo? Au atakuwa anampenda huyo mwanamke? Au wanaume kuanzia umri huo wanakuwa na uhitaji wa mtoto kweli?
Naombeni maoni yenu.