Salaam kwenu waheshimiwa.
Nimetafakari kwa kina kadiri ya ufaham wangu ila sijafanikiwa kupata jibu moja lisilo na shaka na kujikuta nikibaki na "labda" Naamini hapa nyumbani kwa wasomi naweza...
Amani kwenu!
Moja ya weaknesses I had was jigjig
But after 13hrs bila tongozo na pisi kali aliyekaa next seat naamini Yesu kanibadili.
Ilikuwa mwiko nikae na pisi kali jirani safarini mpaka...
Habari wanajamvi,
I hope mu wazima Kama Kuna wenye matatizo tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu
Kuna Jambo nimeona tukumbushane kuhusu tabia za kupenda wake za watu.KUMBUKA...
Mahusiano yanahusisha mambo mengi na huhusisha mtu zaidi ya mmoja. Uhusiano wowote ule! Mara NYINGI mtu akitaka kuuanzisha mara nyingi ( always) huwa tayari anakuwa ametengeneza picha ya NAMNA ayo...
Habari watanzania Wenzangu?
Siku mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na malaria, nikamjulisha the so called mpenzi wangu kuwa naumwa, akanijibu kwa kifupi "pole and get well soon baby" toka...
Wanasaikolojia wanadai njia rahisi ya kutambua kama mtu fulani anavutiwa nawe ni furaha anayokuwa nayo pale anapokuona na urahisi wa wewe kumchekesha au kumfurahisha.
........................Haya...
Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda.
Asubui nikiamka nakuta...
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani
Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana
Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige...
Corona ipo ni jukumu lako kujilinda kuepuka misongamano isiyo na lazima na kujilinda wewe mwenyewe... Nmelazwa hapa Temeke hosp wiki sasa and every 5 seconds zinakuja cases za corona mpaka...
Habari,
Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo?
Wakati flani wanawake...
Habari za jioni wakuu!
Kuna mdau tupo nae job juzi alinialika harusini kwake.
Alikuwa anaongeza mke wa pili. Kumbe mke wa kwanza amemwambia na amemruhusu japo kinyongeee...ila waliongea...
Ilikuwa ni weekend hii iliyopita jumapili hii nilikuwa harusini ni mshikaji Wangu wa karibu ameowa lakini cha ajabu wazazi wake hawajui
Nilipokuwa ukumbini aliniita chobingo akaniambia haya...
Kwa mujibu wa Vitabu vya imani dhambi iliingia duniani siku ambapo Mwanamke alimletea Chakula mwanaume. (Tunda).
Kunauhusiano Mkubwa kati ya pesa na kutawala. Ndio maana hata kwenye ukoo mwenye...
Nina miaka 28,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya...
Wadada Mjini mmezidi aisee. Mtu kakutongoza tu tayari unakuja na Invoice ya matatizo ya ukoo mzima. Sijui Kodi, michango ya kitchen party, send off, misiba,ubatizo na harusi. Hata sisi tuna yetu...
sio siri ndugu zangu huu ugonjwa unaua sana hasa watu walio na umri mkubwa, nimempoteza shangazi yangu na mpaka sasa tupo kwenye shughuli za mazishi, alilazwa ghafla, tukaambiwa ameshindwa kupumua...
Habali za masiku wakuu,
Nipo kikazi hapa makao Makuu ya Nchi, kiukweli huu mji siuelewi kabisa.
Em tuambiane viwanja tulivu vya kutulia na kawaini kako siku za wekend.
Tchaooooo
Wakuu!
Leo ni siku ya kwanza, kawasili jana usiku nami nimeamkia mihangaiko yangu. Kwa haraka haraka nilivyomuona anafaa, sasa sina uzoefu nifanyeje ili kumwongoza vizuri na kuboresha kazi zake...
Kuna mwanamke mmoja ambaye yupo late 20's ninayemfahamu kwa miaka kama miwili hivi, ni mkristo na nilikua nikimuona ni mtu wa ibada sana, kwa vile tulikua na mazoea ya kawaida. Kuna siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.