Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau! Kila mtu ana mtu ambae moyo wake umemuangukia au umeCrush kwake, ila hujamwambia unasubiri subiri muda fulani au Unaona aibu/Uoga kumwambia. Kama mtu huyo yupo kamawe usisite kumwambia...
33 Reactions
332 Replies
26K Views
poleni na majukumu. Mwaka jana nimetokea hom nipo mkoani huku natafuta maisha sasa naishi nyumba yakupanga kwenye nyumba tupo poa sana nikama familia 1 tunaheshimiana sana mimi sina mke na...
6 Reactions
48 Replies
10K Views
Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao. Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani? Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
2 Reactions
82 Replies
4K Views
Naona mnalisahau sana hili, mnazungumzia chura, mara sijui mcha Mungu lakin nawaambieni njia rahis zaidi ya kuwa maskin ni kumpata mwanamke asiyejua kubana matumizi, mwanamke anayependa kushindana...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Hatimaye harakati zangu zimefanikiwa kumpata MENTOR wangu kwenye sekta ya mahusiano na mapemzi ya karne ya 21, kizazi cha kidijitali. CALORINE DANZI ndiye mwana JF pekee kwangu kuniweka katika...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Na Reagany Mchome 14 Februari kila mwaka ni siku inayopambwa kwa rangi nyekundu za maua ya waridi, makadi ya maamkizi, zawadi na alama ya “kopa” inayotambulika kuwakilisha upendo. Ni siku...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Shabani Matutu IKIWA leo ni Siku ya Wapendanao, maarufu kama Siku ya Valentine, pamoja na kwamba haitambuliki kama moja ya siku maalumu za kiserikali, lakini imekuwa ikijipatia...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habar wadau polen na pilika pilika za valentine Nimejaribu kufikiria hili swala lkn bado hainiingii akilin yaan kuna girls umeish nao km wapenz tena unajisikia hata aibu kumuita mpenz yaan...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari waungwana, leo nimeamua kushare nanyi mikasa ya kimaisha ambayo ilinikuta kipindi nipo nyumba ya kupanga. Ilikuwa hivi: Mwaka 2006 nilifanya vizuri katika masomo yangu ya Electronics...
9 Reactions
25 Replies
28K Views
Umofia kwenu? Kwanza namshukuru Mungu aliyetufunulia kuwa sisi ni zetu vichwa vya familia!! ...na tena akasema wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili!!! Sehemu nyingine akasema...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo 1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe! Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika mambo wanaume tunakosea ni pamoja na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na wasichana wetu wa kazi jambo hili ni baya na linawaumiza wake zetu sana na kiwango cha juu cha dharau kwa mke...
5 Reactions
57 Replies
15K Views
Hello members, Ni kipindi sijakutana nanyi tena ndugu zangu wa MMU natumai mu wazima. Leo nimekuja na kisa nilichoshuhudia kilichonifanya niandike uzi Huu Siku ya Leo tukielekea valentine day...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Last week end nilipata nafasi ya kuongea na Wazazi wangu. Kama ilivyokawaida, huwa napenda kumpigia simu Mama, nikishakaliza kuongea nae basi umuomba ampe na Baba ili tuongee pia. Kwavile huwa...
55 Reactions
46 Replies
5K Views
1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana 2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje 3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira...
13 Reactions
51 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu zangu ambao hatujuani kwa sura wa majina! Wahenga wanasemaga katika mtihani wa maisha hutakiwi kuigilizia au kupiga chabo maana questions paper zetu ziko tofauti. Ila kwa upande...
54 Reactions
145 Replies
10K Views
Back
Top Bottom