Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salamu zenu wadada wenye tabia hii; ~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane... ~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Dah Siamini kabisa! Nadhani ni moja ya mistake kubwa nilizozifanya kwenye maisha yangu. Nimetoka kumuomba rafiki yangu kipenzi mno tuwe na mahusiano ya kimapenzi. Sijategemea kilichotokea...
10 Reactions
62 Replies
8K Views
Natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke wang mtarajiwa miaka 28-32 na awe anaish Dar au pwan(kibaha) kwa aliye seriously ani pm
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalam, "Wanaume tumeubwa mateso kuhangaika walisema wahenga." Tuachane na hayo kwanza Ila kilichonileta hapa leo ni kujua kama baadhi ya tabia wadada huwa wanazifanya kwa makusudi au ni...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nisijisifie bandugu me ni miongoni mwa wanaume ambao siwezi kumuingilia mwanamke kwa kumshindikiza (kumlazimisha). Nina tatizo hata kama nipo nae chumbani kwangu akionesha dalili za kutokuwa...
19 Reactions
243 Replies
29K Views
Wakuu kwanza kabisa msinishambulie, namimi ni binadamu, ingawa yalishapita na nimeyasahau, Jamani uzinzi ni mbaya sana, Nilikuwa na tabia ya kuwapima ngoma mademu zangu nikiona wako safi naanza...
16 Reactions
53 Replies
7K Views
Kutokana na mabadiliko nchi yanayoendelea dunian kuna baadhi ya ndoa zitakuwa kwenye wakati mgumu sana kufwatana na janga hili la ugonjwa wa homa ya mapa.../inimonia Tunapenda kuwakumbusha...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu! Nadhani wote mu wazima. Napenda niulete kwenu huu mjadala wenye kichwa 'Michango ya Diaspora wa Kitanzania kwa maendeleo ya Tanzania.' Ni kama muendelezo, kwani siku za nyuma kidogo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Ifike kipindi ambacho ustawi wa jamii watenge kabisa maeneo husika watakaopatikana wanawake bikra kwa matumizi ya kuoa tu na si vinginevyo! Sikudhani kama kupata mwanamke bikra imekuwa ngumu namna...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
NAMAANISHA KABISA. Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia. Nicheki WhatsApp 0656-876 084. Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao. Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro...
16 Reactions
71 Replies
8K Views
Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli...
22 Reactions
82 Replies
7K Views
Wapendwa kwema, Leo nimeletewa malalamiko kwenye ndoa yangu kuwa mke wangu anachonganisha watu hadi wamekosana. Basi mimi sio wa maneno sana nikamuomba yaishe wamsameheane. Huyo mtu akawa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kawaida mwanaume ni kiumbe wa juu kiumbe mtiifu nami kwa kufaata utiifu wa bwana. Nikaiga mienendo ya manabii Kama Ibrahim alikuwa na wake wawili, Suleyman ndyo kabisaa Jembe huyu wanawaje...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi ni kalamu zenye uwezo wa kurekodi video na picha kwa mda mrefu. Back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebuleni moja chumbani kilichotokea nikamuona rafiki wa mke wangu akiingia chumbani na...
1 Reactions
138 Replies
30K Views
Napenda tu kuwa taarifu wanaume wenzangu wale ambao wanategemea kuingia kwenye suala la ndoa Ni kwamba mama uchangia robo tatu ya tabia ya mtoto/mienendo/hulka na matendo Hili linadhihirishwa na...
20 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini wana Jambi wa humu ndani. Natumai mu wazima kabisa. Leo nataka niwasanue (niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo). Ukubali ukatae, wengi...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom