Kipi ufanye endapo utaletewa kesi kuhusu mkeo?

MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
21
75
Wapendwa kwema,

Leo nimeletewa malalamiko kwenye ndoa yangu kuwa mke wangu anachonganisha watu hadi wamekosana.

Basi mimi sio wa maneno sana nikamuomba yaishe wamsameheane. Huyo mtu akawa amenielewa.

Baada ya kama ya dakika kumi nikasikia tena watu wana purukushani za kupigana na isitoshe mke wangu ni mjamzito. Nikawaachanisha kisha nikawapeleka ndani wote ili nizungumze nao. Basi nikaongea yakaisha ila nikaona ni maneno ya vibarazani.

Hadi sasa hivi nimekaa wala sijamuuliza mke wangu ilikuwaje namwangalia tu kama vile hajafanya tatizo na kicheko tu.

Sasa hivi ananichokoza niongee lakini niko kimya sana, sitaki niongee.

Hebu mnipe uzoefu wenu, kwenye kesi za hivi huwa mnafanyaje jamani?
 

The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,870
2,000
Kuna rafiki wa mke wangu alikuja kunilalamikia anamdai wife ila wife hataki kumlipa na anajua uwezo wa kulipa anao nilichofanya nilikuambia anipe namba yake nitamtumia kwa simu au nikikwama kwa simu nitampa cash kuna siku nikampigia aje bar flan achukue mzigo wake kweli akaja akachukua pesa yake ila na yeye akaenda kunipa asante nyumba flan ya kulala jirana na hapo
 

NORTHERNIST

Senior Member
Feb 10, 2021
131
225
Wapendwa kwema,
Leo nimeletewa malalamiko kwenye ndoa yangu kuwa mkewangu ana anachonganisha mtu Hadi wamekosana .
Basi Mimi sio wa maneno San nikamuomba yaishe wamsameheane. Huyo mtu akawa amenielewa .

Baada Kama ya dk kumi nikasikia Tena watu wanapurukushani za kupigani isitoshe mkewangu ni mjamzito.

Nikawaachanisha kisha ni kawpeleka ndani wote ili nizungumze nao .Basi nikaongea yakaisha Ila nikaona ni maneno ya vibarazani.

Hadi saivi nimekaa Wala sijamuuliza mkewangu ilikuwaje namwangalia tyu Kama vile hajafanya tatizo na kicheko tu.

Saivi ananichokoza niongee lkn Niko kimya Sana. Sitaki niongee.

Hebu mnipe uzoefu wenu kwenye kesi za hivi huwa mnafanyaje jmn .
uswahili huo
 

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,647
2,000
Kuna rafiki wa mke wangu alikuja kunilalamikia anamdai wife ila wife hataki kumlipa na anajua uwezo wa kulipa anao nilichofanya nilikuambia anipe namba yake nitamtumia kwa simu au nikikwama kwa simu nitampa cash kuna siku nikampigia aje bar flan achukue mzigo wake kweli akaja akachukua pesa yake ila na yeye akaenda kunipa asante nyumba flan ya kulala jirana na hapo
Ilikuwa shs ngap????.....na ukumtongoza before???

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom