Wengi wao tuna-date na watu ambao wawapendao hawapo nao kwa muda huo

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
358
675
Habarini wana Jambi wa humu ndani.
Natumai mu wazima kabisa.

Leo nataka niwasanue (niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo).

Ukubali ukatae, wengi wetu tunaishi na kudate na wapenzi wa watu wengine, ndo mana linaponijia wazo la kuowa hoja za joka jeusi naziweka kipaumbele.

Wengi wao huingia kwenye mahusiano baada tu ya kumpoteza ampendaye, kumpoteza huko yawezekana ni kwa kujua (kuachana) au kupotezana tu bila mawasiliano kwa muda mrefu.

Ndo mana inakuwa rahisi ma ex wa mpenzi wako kurudiana na mpenzi wako kirahisi hasa kama walikuwa wanapendana. Kuwa makini kama unataka amani fatilia ya nyuma ya mpenzio achana na porojo za watu ,ety ukimchunguza bata humli akati ni kwa faida yako

NB: Nakusanua shtuka shtuka mkuu, mpenzi wa mtu huyoo.
 
La muhimu hapa mkuu wewe baki na msimamo wako tu huo, usioe wala usiwe na mpenzi maana ni wa mtu. Acha wale wanaofurahia kuwa na wapenzi wa watu wa enjoy maisha yao.

We komaa tu kibingwa mwamba. Kila mtu aishi vile kachagua
 
Mimi kuna Ex girlfriend wangu mmoja huwa anatamba sana kwenye mitandao ya kijamii akiwa na boy friend wake!lakini mimi nikipiga simu moja tu narudia tena just a one call!anakuja ghetto tena kwa nauli yake mwenyewe ya kuja na kurudi!nahisi kwangu anapenda zile gemu za Total war point of no return
emoji851.png
 
Umeona eeeeee

Kumbuka kwamba na wewe mke wako atamegwa kama wewe unavyowamega wa wenzio
 
Leo asubuhi nimekaa nikajitafakari Sana
Nampenda Sana huyu mtu ila sioni dalili za yeye kunipenda.ila kumuacha siwezi.namuacha mwezi najirudisha tu mwenyewe.na yeye ananipokea tu hivohivo
Nashindwa kumpenda mtu mwingine na hakuna anachonipa hata basi tu si unipende tu kiukweli wewe mzee
 
Wewe kausha tu Fanya yako au tafuta mwingine uwe busy na mambo yako atajirudi tu Mimi nilifanya njia hiyo saizi yeye ndo anateseka balaa na Mimi namkomesha balaa
 
Habarini wana Jambi wa humu ndani.
Natumai mu wazima kabisa.

Leo nataka niwasanue(niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo).

Ukubali ukatae, wengi wetu tunaishi na kudate na wapenzi wa watu wengine, ndo mana linaponijia wazo la kuowa hoja za joka jeusi naziweka kipaumbele.

Wengi wao huingia kwenye mahusiano baada tu ya kumpoteza ampendae, kumpoteza huko yawezekana ni kwa kujua (kuachana) au kupotezana tu bila mawasiliano kwa muda mrefu.

Ndo mana inakuwa rahisi ma ex wa mpenzi wako kurudiana na mpenzi wako kirahisi hasa kama walikuwa wanapendana. Kuwa makini kama unataka amani fatilia ya nyuma ya mpenzio achana na porojo za watu ,ety ukimchunguza bata humli akati ni kwa faida yako

NB; nakusanua shtuka shtuka mkuu , mpenzi wa mtu huyoo.
Sema mwanetu uyo demu kakutenda vibaya maana topic zako ni za kutokuwaamin wanawake tu.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Ila mambo yao ungewaachia wenyewe...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom