Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,932
Reaction score
3,249
Hizi ni kalamu zenye uwezo wa kurekodi video na picha kwa mda mrefu.

Back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebuleni moja chumbani kilichotokea nikamuona rafiki wa mke wangu akiingia chumbani na mwanaume na wakazini kumbe yule mwanamke anatoa tigo japo siku niliyotembea nae alidai hajazoea.

Nichukue uamuzi gani ukizingatia nilishatembea nae hivi mke wangu nae hana jamaa wa nje maana rafiki yake nae kaolewa.

Am so confused nianzie wapi au niendelee kuumia maana nikimwambia naogopa kufukua makaburi.
 
hiz ni kalamu zenye uwezo wa kurekod video na picha kwa mda mrefu.
mfano wake kama anazoweka magufuli kwenye mfuko wa shati kipind cha kampen hata kikwete alikua anazitegesha mara nyingi.
back to mkasa nilitega kalamu hizi moja sebulen moja chumbani kilichotokea nikamuona rafik wa mke wangu akiingia chumban na mwanaume na wakazini kumbee yule mwanamke anatoa tigo japo siku niliyotembea nae alidai hajszoea .
nichukue uamuzi gan ukizingatia nilishatembea nae hiv mke wangu nae hana jamaa wa nje maana rafiki yake nae kaolewa

am so confused nianzie wap au niendelee kuumia maana nikimwambia naogopa kufukua makabur

Ukimchunguza sana bata humli...
Acha kutafuta presha mkuu
 
niuzie iyo

mkuu siiuzi hiz zipo mbili kipind cha jk mwanzani zilikuepo madukan zina flash hiv unachomeka then unaziangalia.now hakuna madukan zimepigwa stop
 
nimepagawa

Pole buanaaa....
Sasa ikitokea ukaona video mkeo analiwa 071 si utavunja ndoa?

Achana na hayo mambo buanaa...

Anywai..kalam naeza ipata wapi hiyo? Shingap mkuuu
 
Pole buanaaa....
Sasa ikitokea ukaona video mkeo analiwa 071 si utavunja ndoa?

Achana na hayo mambo buanaa...

Anywai..kalam naeza ipata wapi hiyo? Shingap mkuuu
moja 60000 maduka ya flash na camera ya wahind
m
 
Hapo sijaelewa ina maana wewe nyumba yako ni danguro la watu Kuja kufanya ngono. Maana umesema ulitega Hizo Camera za pen moja sebuleni na nyingine chumbani na unamuona rafiki wa mke wako akiliwa tigo. Sijaelewa hapa.
 
Ukisikia "chai" ndio hizi sasa
 
Hapo sijaelewa ina maana wewe nyumba yako ni danguro la watu Kuja kufanya ngono. Maana umesema ulitega Hizo Camera za pen moja sebuleni na nyingine chumbani na unamuona rafiki wa mke wako akiliwa tigo. Sijaelewa hapa.
Chai hii..We kunywa zen tulia
 
Back
Top Bottom