OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,626
- 9,173
Wakuu kwanza kabisa msinishambulie, namimi ni binadamu, ingawa yalishapita na nimeyasahau,
Jamani uzinzi ni mbaya sana, Nilikuwa na tabia ya kuwapima ngoma mademu zangu nikiona wako safi naanza kupiga kavu,
Dah!!!! Kimasihara mchepuko wa kwanza akanasa mimba nilipanic kidogo then nikaona hakuna tatizo azae tu kwani shida nini, wakati huo nina mchumba yupo mkoani ana mtoto wangu mmoja wa kike,
Basi maisha yakaendelea, nikasahau baadae kama mwezi hivi nilikutana na binti mbichi maeneo ya kazini kwetu (kibarua cha muda mfupi), nilivomtizama nikavutiwa na chuchu zake ndogo na miguu yake iliyojazia, basi nikapiga hesabu nikasema acha nipite nae hili futa siwezi liacha hivi hivi hapo lengo lilikuwa ni kumtafuna tu ( it was a very big mistake),
Nilifanikiwa kumtafuna na nikamshikisha pesa akameze pi2 kama tahadhali , ebwanaeeee!!! Baada ya wiki mbili ananiambia anajisikia kichefu chefu anaramba sana ndimu ila hakiishi pia maziwa yame vimba hajielewi,
Ikabidi apime mimba kitu kikaja positive,
Yaani nilijiona bonge la mpumbavu, nilijuta sana na nilikonda sana utadhani mimba nimebeba mimi, nikaanza kufikilia kipato changu ni cha hovyo sina mbele wala nyuma, nikimfikilia mchumba wangu wa home na mtoto wangu wanavyoishi kwa tabu kichwa kinawaka moto mpaka kinataka kuungua,
Nilikonda kwa mawazo, mimba zikawa zinakua kwa kasi baadae michepuko wote wawili walianza clinic,
Pesa za viitenge, matunda, plus kuambiwa nikajitambulishe kwao kumbuka hapo hawajuani, yaani nilikonda nilinyonyoka haswa kama kuku wa kishingo, nilichakaa nikapauka haswa, kumbuka hapo napigiwa simu na mchumba wangu nitume pesa za matumizi ya mtoto na ninatuma kama kawaida kwa kukopa kopa,
Mimba zilikuwa mpaka zikafikisha miezi 6 na week 2 ya mwingine miezi mitano kama sikosei,
Lilitokea tukio la ajabu sana, wote walishikwa uchungu kwa nyakati tofauti walipoenda hospitali mmoja akaambiwa mtoto hachezi, mwingine anauvimbe na mimba imeharibika kitambo tu.
Walisafishwa wakapona.
Cha ajabu eti mimba kuharibika roho ikaanza kuniuma nimepoteza watoto nikajiona mtu nisiye na bahati wakati hata sijui watoto ningewatunza vipi,
Basi yalipita nikasahau na nikaendelea kuwasiliana nao ila nilipata funzo kubwa sana hakika nilijifunza kwa vitendo.
Je unajambo lolote ambalo huwezi kulisahau? Langu ndio hilo, weka nawewe lakwako.