Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi kwa upande wangu naona ni mwanamke kutokana na maumbile yake na majukumu yake kama mama, ikiwa ni pamoja na kuzaa. Kuzaa watoto wengi hupelekea mama kuchoka mapema na kupoteza muonekano wake...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wakuu. Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali. Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na...
10 Reactions
161 Replies
12K Views
Siku moja jamaa mmoja alichinja ng'ombe mnono na akachoma vizuri, baadaye akamwambia mke wake: "NENDA NA KAWAALIKE MARAFIKI NA MAJIRANI ZETU WAJE TULE NYAMA." Basi mke mtu akatoka nje na kuanza...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakika mahusiano ni cimplex sana! Yamenikuta leo,nimeshindwa kufanya kazi,wakati wote nina mawazo mengi sanaa! Nilikatazwa kuwa na mahusiano na single mother nikajifanya kichwa ngumu mimi! Imani...
15 Reactions
68 Replies
10K Views
Nipo na mpenzi kwa muda sasa. Siku moja nikaiona nywila (password) ya simu yake na niliyoyakuta ndio niliyoyakuta. Ugomvi ukawa mwingi, sikumpiga bali niliminya si kidogo. Jamaa aliyekuwa...
10 Reactions
93 Replies
13K Views
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
My Boyfriend Says He Will Marry Me When I Lose Weight" It is uncommon for people to go through body shaming in the hands of their other halves. But the fact that it is not common doesn't in...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam, Twende direct kwenye point..kwa jinsi nilivyo ni introvert flan hivi ambae sipendi sana kujichanga na watu,sina tabia ya kuchekesha katika story,sio mtu wa kujielezea sana wala wa siwezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ilivyo kawaida yake, aliamka mapema, akaingia kwenye chumba chake cha mazoezi, akapasha viungo joto. Baada ya muda kidogo anatoka, akaingia bafuni akaoga. Baada ya hapo akavaa suruali na...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni ushauri demu wangu ninaetarajia kumuoa nimempa ruhusa kwenda beach na rafiki zake baadaye nikapita huko nikamkuta anabebwa na kijana juu kwa juu nikakasirika nikamtwanga kibao...
8 Reactions
63 Replies
9K Views
Tusemeni tu ukweli wanaume kwenye suala la ku tunza akiba aisee ni 0 yaani tunatumia hela yote hatuwezi kuweka pesa ni Bora chenji chenji tuwe tunawapa wanawake zetu siku una shida hata ya buku...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Itakuaje sasa tukiachana ama mama watoto akitaka tuachane?? Mwendo wa pasu kwa pasu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, •...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salama? Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu. Dawa hii inamchanganyiko wa...
10 Reactions
77 Replies
10K Views
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu: SIFA ZANGU...
1 Reactions
3 Replies
979 Views
Habari JF? Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania. Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago. Tumerejesha mawasiliano hivi...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Wanawake sasa hivi tunaaachia sana....tunatanua miguu mpaka hatutaki irudisha tena. Siku mbili tatu mtu kaomba mzigo kakuhonga unamwachia. Matokeo yake mnabaki kulalamika sijui wanaume vibamia...
39 Reactions
170 Replies
18K Views
Sifa zangu Miaka yangu 33 Kaz biashara ndogo ndogo Kabila sukuma /nyamwezi Makaz dsm Dini roman mkristo Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278 Vigezo vya mke Asiwe na mtoto Umr uwe...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sokaine and Stephanie with their goats (Stephanie Fuchs) A German woman who married a Maasai tribe leader after she fell in love with him while volunteering in Tanzania has launched an...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wadau ,naombeni msaada katika hili,niko kwenye mahusiano nanyuma nimepitia mengi mpaka kukosa mke kisa pombe yani siwezi kabisa kuacha pombe yani ni heri nimuache mwanamke ila sio pombe...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom