Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadada na wamama wa JF. Majuzi kati hapa ofisini kwetu nilikuta wamama 2 wa makamo (45+) wenye familia na wadada wa 2 (33+) ambao wote ni single mamy wafanyakazi wakibishana. Mada...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata bahati ya kudate na pisi nyembamba mbili tatu hivi ,wadau ila huwa zinakuwa na wenge sanaa yaan wengi wao hawatulii yaan wasumbufu sana , mara anasusa mara cjui nn yaan najiuliza ni wote...
9 Reactions
86 Replies
12K Views
Ushawahi kutongoza mwanamke akakukataa? Ulijiuliza tatizo lilikuwa wapi? Labda ulitumia mbinu zote nzuri za kutongoza mwanamke lakini ukashindwa kumshawishi mwanamke. Je tatizo lilikuwa kwako...
1 Reactions
123 Replies
16K Views
Jamani Wana jf Wazima nyie. Tukiwa tunaendelea kupambana na haka kahoma ketu ka mapafu. Sasa Tuje kwa mada. Et Wanaume naona mmejaa Mapovu baada ya kuwaambia mkatafute hela. Kiukweli nimeamini...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye bado sijawa na familia. Ila nafanya kazi na naishi mwenyewe kwa kujitegemea. Kuna dada nilikutana naye kabla hajaolewa. Nikawa nimempenda nikamuomba tuwe pamoja. Kwa bahati...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habar za muda huu, ndugu zangu wana JF. Kama tujuavyo tuliowengi ikifika mwishoni mwa mwaka...tunakwaida ya kujitathmini yale tuliyoyafanya kwa kipindi cha mwaka mzima. Katika nyanja ya...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Kwanza kabisa nipende kutoa shukurani zangu za dhati kwa mtandao pendwa wa Halotel kwa kuweza kunifanikishia zoezi hili la leo, Huyu manzi Nilimpata kama utani hivi baada kukosea namba ya simu na...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwa mara ya kwanza; Nilikuwa mkoa wa Tanga, wilaya za lushoto, Korogwe, Mheza na Tanga mjini katika kazi fulani nilyo tumwa na serikali. Nime maliza salama na nime rejea kituoni...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
There ia a lot of whining and complaining when it comes to relationships.Much is said about what men want but we need to know more about what women desire from their men.When it comes to what...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habarini waungwana. Nina jirani yangu kila mara nakuwa anasumbuka sana kutafuta pesa kwa ajili ya kulipa malipo ya ada ya masomo ya mwanafunzi. Juzi hapa Januari alikuwa anahaha sana kutafuta...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Hapa JF kuna mada zimepamba moto sana wanaume wanalia kila siku na kupeana mbinu za kututuliza wanawake tusitoke nnje eti, mara sijui mpe pesa mara kitandani sijui goli nyingi Wanaume hao hao...
12 Reactions
87 Replies
8K Views
We imagine tu mtu anavyokikata kata lazima atoe machozi iwe ke au Me, Ingekuaje kama kitunguu kingekuwa demu? Angekuwa bonge moja la star , mzuri kuliko wanawake wote , penzi lake matata ndio...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wana-Jf wenzangu. Katika maisha ya kawaida tunazungukwa na majirani na marafiki katika mambo mbalimbali ya kijamii. Maandiko matakatifu yanatuambia wazi tujihadhari na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, nimeona thread mbalimbali hapa jukwaani wanaume wakilalamika kupokea majibu ya ajabu kutoka kwa wanawake Mfano unakuta kuna demu mkali beki hazikabi umesota mbaya kabisa ukapata namba zake...
25 Reactions
232 Replies
176K Views
Habari JF, Katika mzungumzo na baadhi ya wadada ikazuka hoja kuwa suala la sisi wanaume kutowapa hela au kuwapa 10,000 tu baada ya show ni ubahili. Hili suala limenifanya niwaze sana kuwa kama...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
What is Love? Love is when two people touch each other's soul! And love is a complex emotion that brings two people together, sometimes in a strange way. Love is strange and unusual like most of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna sekeseke limetokea hapa limenihuzunisha sana, ipo hivi. Kuna jamaa yeye alikua anamchunga sana mke wake, haruhusiwi kutoka bila taarifa ikafikia akamnyang'anya simu kabisa kiasi kwamba...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Wakuu habar za jioni, Poleni na majukumu ya kutafuta pesa,"tujadili haya maneno 2 MAPENZI na UPENDO Nijambo ninalojiuliza kwa mda kidogo tofauti ya MAPENZI na UPENDO MAPENZI ni matamanio ya...
7 Reactions
15 Replies
15K Views
Wapendwa wangu mmeamkaje. Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua...
27 Reactions
104 Replies
10K Views
Back
Top Bottom