Ukipoteza kwa mama umepoteza kwa watoto

jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
500
821
Napenda tu kuwa taarifu wanaume wenzangu wale ambao wanategemea kuingia kwenye suala la ndoa Ni kwamba mama uchangia robo tatu ya tabia ya mtoto/mienendo/hulka na matendo

Hili linadhihirishwa na mfumo wa genetic ambao mwanamke anatoa XX na mwanaume anatoa XY. Ukichukulia idadi ya Chromosome X ni 3/4 na idadi ya chromosome Y ni 1/4

Kwa hiyo ili uweze kupata uzao bora na wenye mafanikio utegemeana na uzao wa mama upoje. Mnakumbuka kale ka msemo. Kwamba mwana mwerevu ni furaha ya babaye ila mwana mpumbavu ni mzigo wa *****

Na ukibisha kwa hili hebu angalia familia ambazo kwa kiasi kikubwa watoto wamefanikiwa kimaisha, angalia upande wa mama utaona anasadifu yaliyomo

Chagua mwanamke mwerevu hakika utapata watoto werevu
 
Nitakuwa nimezeeka. Hivi ile kitu hutolewa 50/50 wakati wa utunzi wa mimba inaitwaje! Maana hapa naona ni 75/25
 
Tatizo hao unaowaita werevu wengi hawana 'chura' kabisa, yaani kikubwa uhai tu!
 
Sijafanya tafiti lakini ,Ila naona mtoto anachuku 50% kwa mama ,na 50% kwa baba, Ila mtoto kuchukua tabia nyingi za baba au umama inatokana na mazingira ya makuzi na nani yupo karibu na mtoto kwa mda mwingi , na Mara zote ni mama ndo huwa karibu na mwana.
 
No sio kweli nnavyo amini mimi kama mtto sura kachukua kwa baba ujue akili kachukua kwa mama ina maana kama sura ni ya mama bhas akili ni ya baba hvo huwez chukua mwanamke mwnye iq kubwa ukapta mtto mwnye akili na wakat baba ni kichwa kibovu
 
Mtoa mada unamuongelea MAMA WA NYUMBANI ASIE NA KAZI ... SIKU HIZI mfumo wa malezi umebadilika BEKO TATU anakaa na mtoto zaidi ya masaa 10 kwa siku na analala nae pia,,, moja kwa moja mtoto atachukua tabia za beki tatu ...
mama anatumia masaa ya kukaa na mtoto kwa wastani wa masaa mawili au matatu ndio maana sikuhizi mapenzi ya mama kwa mtoto yamepungua ..MAMA KAMA BABA ..kinacho watofautisha ni vikojoleo tuu ..MAMA ANAPAMBANA BABA ANAPAMBANA NANI ANA MDA NA MTOTO ( WANASEMA PESA INALEA )

CHAGUA BEKI TATU BORA KWA USTAWI WA MTOTO WAKO usipo taka MWACHISHE MKEO KAZI UPATE MTOTO BORA ....
 
Only a real man ata survive beyond tako, na looks achuje yote abaki na uerevu.

Hawa wanaoendeshwa na mihemko, and what's trending subutu watavuna matako waliopanda. Lol.
 
Acha wivu, hujui kazi yake.... watoto watajua wenyewe.
 
No sio kweli nnavyo amini mimi kama mtto sura kachukua kwa baba ujue akili kachukua kwa mama ina maana kama sura ni ya mama bhas akili ni ya baba hvo huwez chukua mwanamke mwnye iq kubwa ukapta mtto mwnye akili na wakat baba ni kichwa kibovu
Yaani unavyoamini wewe ni kweli, mawazo ya mwingine sio kweli.🙄🙄
 
Hili linadhihirishwa na mfumo wa genetic ambao mwanamke anatoa XX na mwanaume anatoa XY. Ukichukulia idadi ya Chromosome X ni 3/4 na idadi ya chromosome Y ni 1/4

Mkuu hii ni kwa mtoto wa kiume au wa kike?
 
Mtoa mada unamuongelea MAMA WA NYUMBANI ASIE NA KAZI ... SIKU HIZI mfumo wa malezi umebadilika BEKO TATU anakaa na mtoto zaidi ya masaa 10 kwa siku na analala nae pia,,, moja kwa moja mtoto atachukua tabia za beki tatu ...
mama anatumia masaa ya kukaa na mtoto kwa wastani wa masaa mawili au matatu ndio maana sikuhizi mapenzi ya mama kwa mtoto yamepungua ..MAMA KAMA BABA ..kinacho watofautisha ni vikojoleo tuu ..MAMA ANAPAMBANA BABA ANAPAMBANA NANI ANA MDA NA MTOTO ( WANASEMA PESA INALEA )

CHAGUA BEKI TATU BORA KWA USTAWI WA MTOTO WAKO usipo taka MWACHISHE MKEO KAZI UPATE MTOTO BORA ....
Ondoa neno beki tatu weka msaidizi ujumbe wako utakua na uzito zaidi
 
Back
Top Bottom