Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Ifike kipindi ambacho ustawi wa jamii watenge kabisa maeneo husika watakaopatikana wanawake bikra kwa matumizi ya kuoa tu na si vinginevyo!
Sikudhani kama kupata mwanamke bikra imekuwa ngumu namna hii ni miaka 15 sasa natafuta bikra ili nioe juhudi zimegonga mwamba!
Sikudhani kama kupata mwanamke bikra imekuwa ngumu namna hii ni miaka 15 sasa natafuta bikra ili nioe juhudi zimegonga mwamba!