Mjadala: Muendelezo! Michango ya Diaspora kwa Tanzania.

Sandeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
666
Reaction score
298
Wakuu!
Nadhani wote mu wazima.
Napenda niulete kwenu huu mjadala wenye kichwa 'Michango ya Diaspora wa Kitanzania kwa maendeleo ya Tanzania.'

Ni kama muendelezo, kwani siku za nyuma kidogo ndugu FIGGANIGGA aliwahi kuja hapa na mjadala kama huu sema yeye alispecify kwa diaspora wa kike tu!

Leo naomba tujadili kwa ujumla ni nini michango ya diaspora wa kitanzania katika maendeleo ya Tanzania? je, wanaongeza chochote katika nchi yao?

Hebu tujadili ikiwezekana hata kwa mifano dhahiri.

Ningependa sana kama ndugu Kiranga, Nyani Ngabu, Ablessed na VUVUZELA muwe wazungumzaji wakuu.

Host: Fixed Point

Karibuni kwenye mjadala
 
Last edited by a moderator:
Naweza kusema wanasiasa wanawarudisha nyuma sana hawa madiaspora kufanya mengi kwa ajili ya nchi yetu. Wapo wanaojaribu lkn bado wanashindwa hapa home mambo hayako strait forward urasimu mwingi na kila mmoja ni mbabe .

Serikari ingekua inashirikiana nao wangeweza kupunguza baadhi ya matatizo nchini kwa mfano suala la miundo mbinu hili linaonekana limeshindikana na ni ugonjwa mbaya sana ktk kuleta maendeleo ya nchi. Naamini tuna ma-civil engineers wazuri mno wanaoweza kutusaidia ktk ujenzi wa barabara lkn inashindikana . Sasa mimi naona tulie na wanasiasa wetu hawa na ikiwezekana tuwawajibishe na jamii ibadilike iwaze maendeleo ya nchi na kuacha ubinafsi.
 
Diaspora wengine washachoka wanaona hawathaminiwi wanapigwa danadana uraia wa nchi mbili, wanasema kama vipi watamwaga mboga tu.

Habari ndiyo hiyo.

Mkuu Kiranga, kwa hiyo mpaka sasa hatuna mchango wowote ule wa diaspora katika jamii ya Tanzania kwa sababu ya kukosa uraia wa nchi mbili?

Kuna mtu anayeweza kuumwaga uzalendo wake kweli
 
Naweza kusema wanasiasa wanawarudisha nyuma sana hawa madiaspora kufanya mengi kwa ajili ya nchi yetu. Wapo wanaojaribu lkn bado wanashindwa hapa home mambo hayako strait forward urasimu mwingi na kila mmoja ni mbabe .

Serikari ingekua inashirikiana nao wangeweza kupunguza baadhi ya matatizo nchini kwa mfano suala la miundo mbinu hili linaonekana limeshindikana na ni ugonjwa mbaya sana ktk kuleta maendeleo ya nchi. Naamini tuna ma-civil engineers wazuri mno wanaoweza kutusaidia ktk ujenzi wa barabara lkn inashindikana . Sasa mimi naona tulie na wanasiasa wetu hawa na ikiwezekana tuwawajibishe na jamii ibadilike iwaze maendeleo ya nchi na kuacha ubinafsi.

Asante kwa mchango wako! but we unataka mfumo wa siasa ufanyeje?
 
Mkuu Kiranga, kwa hiyo mpaka sasa hatuna mchango wowote ule wa diaspora katika jamii ya Tanzania kwa sababu ya kukosa uraia wa nchi mbili?

Kuna mtu anayeweza kuumwaga uzalendo wake kweli

Mchango anza kwa familia yako. Hata Kikwete, mtu ambaye sikubaliani naye zaidi ya ninavyokubaliana naye, alishawahi kulisema hili. Ukarimu huanzi nyumbani.

Mimi nasomesha madaktari katika fam kuongeza the now appalling doctor patient ratio (around 1:30,000, and that is skewed by the Dar Metro, the rural ratio is even worse).

Huo ni mchango tosha kwa sasa kwangu.

Big banal Uzalendo is overrated.

Kwa nini mimi niwe na uzalendo kwa nchi ambayo haina uzalendo kwangu?

Kwa nini mimi niwe mzalendo kwa Tanzania wakati Watanzania wanaisha, siku hizi tuna CCM na CHADEMA, kila sehemu unaulizwa "wewe gwanda au gamba" wakati zamani tulisalimiana kwa bashasha na kutanguliza "Ndugu" kabla ya majina?

Kila siku unasikia habari za viongozi wanavyofuja sio tu mali ya umma, bali mpaka imani.

Mpaka huo upinzani tulioutegemea ulete mabadiliko umekuwa a comedy of errors.

Kwa nini nisichukue mbawa za kibuluu? Hususan kama dhana ya utaifa yenyewe iko outdated, si yetu na ilifaa zaidi baada ya "The Thirty Years War" na enzi za Westphalian Treaty kwenye 1600s huko.

Kwa nini niwe mzalendo kwa Tanzania wakati Tanzania is largely a creation of Europeans?

Umemsikiliza Nyerere kwenye hotuba yake bunge la Afrika Kusini?
 
Wakuu!
Nadhani wote mu wazima.
Napenda niulete kwenu huu mjadala wenye kichwa 'Michango ya Diaspora wa Kitanzania kwa maendeleo ya Tanzania.'

Ni kama muendelezo, kwani siku za nyuma kidogo ndugu FIGGANIGGA aliwahi kuja hapa na mjadala kama huu sema yeye alispecify kwa diaspora wa kike tu!

Leo naomba tujadili kwa ujumla ni nini michango ya diaspora wa kitanzania katika maendeleo ya Tanzania? je, wanaongeza chochote katika nchi yao?

Hebu tujadili ikiwezekana hata kwa mifano dhahiri.

Ningependa sana kama ndugu Kiranga, Nyani Ngabu, Ablessed na VUVUZELA muwe wazungumzaji wakuu.

Host: Fixed Point

Karibuni kwenye mjadala
uuwwwiiii, host ndo natokea leo wakati show imeshapita...
Nisamehe mwandaaji nilitingwa....
 
Mchango namba moja wa Diaspora wamepunguza kundi la majobless mitaani, otherwise nchi hii ingeshaingia vitani kwa watu kupinga ugumu wa maisha.
 
Umesmsahau best yako mnyalukolo huwa anachangisha rambirambi.
Mmemsahau le mutuz anatoa ajira kwa mabebswa ukweee

Hizi rambirambi zilizochangishwa na Cris Lukosi hazijafika mpaka leo ametafuna.

Huyu Mzee kijana Le Mutuz yeye mwenyewe anatafuta ajira sembuse kumpa mtu ajira?

Hivi viblog uchwara vya copy & paste atamuajiri nani!
 
Kiranga ameshamaliza yote niliyokuwa nataka kuyasema
 
View attachment 566354

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
Barikiwa kwa Makala hii.
 
Back
Top Bottom