Njooni ndugu zangu mnishauri

May 22, 2017
65
298
Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.

Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.

Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake?

Nisaidieni?
 
Fanya hivi jifanye J mosi uwe busy au upate dharula ya kikazi then mwandae boda boda au tax or Bajaji huku ukiwa umeandaa room nzuri lipia afu mwachie maagizo reception na bill zote kisha jioni ibuka Lodge na zawadi kisha msaprise mkeo na hakikisha mnalala hapo then kesho mkiamka usimuulize chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom