Ilikuwa ni mwanaume kwa mwanaume

Ilikuwa ni mwanaume kwa mwanaume

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,871
Reaction score
6,475
Kama kawaida mwanaume ni kiumbe wa juu kiumbe mtiifu nami kwa kufaata utiifu wa bwana.

Nikaiga mienendo ya manabii Kama Ibrahim alikuwa na wake wawili, Suleyman ndyo kabisaa Jembe huyu wanawaje buku

Nami katika pita pita za mitandaoni , nikakutana na binti kamweka rafikiye status nikaomba namba ....nikazama Inbo., tembeza vocalz na vijistori stori kama shah rukh khan

Mtoto kwa picha tu ni kama Naomi Campbell kabisa kama siyo priyanka Chopra

Rusha Ndoano ikakubali I

Tukameet weekend tukaroll san,town spend mda mwingi sana ,

Enjoyment isiyo ya kawaida hapo alikuwa na uzuri wake ule ule wa pichani wig la bei na viwalo calvin klein🤣🤣

Sasa last weekend , kaja gheto na freely akijua mwanaume nshadata kwake.

Haki hawa watoto wa kike na make Up zao wanatupoteza sana

Akaosha make Up zake

Akatoa wig yake

Akawa ananiface mimi sasa

Yaani ilikuwa mwanaume kwa mwanaume tunazungumza

UPUUZI tu Dadeq
 
Pole Mwana.
kwani mie baba levo

Anyway Kama Ni make up tu wenzio wanajitiaga hasira wanakula mzigo kwa kuvuta hisia kwa mtu mwingine Ili kufidia gharama za kuspend 🤣🤣.

Hata hilo ulishindwa?
 
18485794_1495128143892787_8955661681479656934_n.jpg
 
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
"Let Us talk mano-a-mano"
 
Pole Mwana.

Anyway Kama Ni make up tu wenzio wanajitiaga hasira wanakula mzigo kwa kuvuta hisia kwa mtu mwingine Ili kufidia gharama za kuspend 🤣🤣.

Hata hilo ulishindwa?
haki nisingemtendea haki manzi ,,, yangu ni makali mara mia kuliko huyu

Make Up aliezileta daah
 
Basi mkiambiwa muache uzinzi muwe mnasikia.

Manzi unae kumbe?
Tunaaiga miiko ya manabii kama Nabii suleyman

Anyway mama watoto popote uliko nisamehe sana mimi🤣🤣🤣
 
Kwenye make up tunapigwa sana. Asilimia kubwa ya wasichana wa namna hiyo mileage zao huwa hazijasoma sana.
 
Keani taulo hauna??

Unamfunga taulo la usoni unabaki na shingo kushuka chini

Wapenzi wa mitandaoni ni magarasa tupu
 
Kama kawaida mwanaume ni kiumbe wa juu kiumbe mtiifu nami kwa kufaata utiifu wa bwana.

Nikaiga mienendo ya manabii Kama Ibrahim alikuwa na wake wawili, Suleyman ndyo kabisaa Jembe huyu wanawaje buku

Nami katika pita pita za mitandaoni , nikakutana na binti kamweka rafikiye status nikaomba namba ....nikazama Inbo., tembeza vocalz na vijistori stori kama shah rukh khan

Mtoto kwa picha tu ni kama Naomi Campbell kabisa kama siyo priyanka Chopra

Rusha Ndoano ikakubali I

Tukameet weekend tukaroll san,town spend mda mwingi sana ,

Enjoyment isiyo ya kawaida hapo alikuwa na uzuri wake ule ule wa pichani wig la bei na viwalo calvin klein🤣🤣

Sasa last weekend , kaja gheto na freely akijua mwanaume nshadata kwake.

Haki hawa watoto wa kike na make Up zao wanatupoteza sana

Akaosha make Up zake

Akatoa wig yake

Akawa ananiface mimi sasa

Yaani ilikuwa mwanaume kwa mwanaume tunazungumza

UPUUZI tu Dadeq
Hv Jf kuna davinc wawil, davinc domo nzege na davinc wewe, au ndo yule yule saizi kaamua kuja kivingine na story za kitoto?
 
Back
Top Bottom