Tunawaomba Sana TCRA. sisi kama wanaume wazalendo wa Taifa letu hili pendwa

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu isikie ombi letu kuzuia message za kuombwa pesa from mademu,michepuko
 
Haya malalamiko yamekua mengi sana humu ndani, wakituma sms we kausha shidaa iko wapi. Pole sana!!
 
Hivi ni kwa nini mwanaume ndio analipa/nunua penzi?
Mwanamke ni bidhaa?
Halafu eti utasikia kelele za usawa kwa hawa viumbe wa kike na wa kiume.
Naona kelele hizi ni gitaa kwa mbuzi
Na mbuzi mwenyewe ni maumbile
 
Kwani unashikiwa bastola kutuma hizo pesa jombaa??

Mbona wanawake ni waelewa sana iwapo unawaeleza ukweli, kuwa huna pesa.
Unless huyo mwanamke anajua huna commitment naye hivyo anafanya kukuuzia huduma 😀
 
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu isikie ombi letu kuzuia message za kuombwa pesa from mademu,michepuko

Wazungu waliamua kukwepa gharama za kutuma na yakutolea kama wewe!ila kilichowakuta wanazibuana mitaro wenyewe kwa wenyewe!
 
Cha msingi ni kuzima simu

Au kutopokea simu na kujibu message

Pia nisisitize kutojibu message zinazoanza na baby nikwambie kitu

Pia akikwambia leo naumwa au naskia njaa usiendelee kuchati au kuhoji

Msemaji mkuu

Uwabata

Pobox: sina kitu 3000 dalisalama
 
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu isikie ombi letu kuzuia message za kuombwa pesa from mademu,michepuko
TCRA fungieni account zote za Jane Lowassa ni kidemu hatari Cha mizinga
 
Tunawaomba TCRA iweze kuzuia message za mademu wanaomba pesa zisiwafikie wanaotumiwa litakuwa ni Jambo la busara Sana kama wanatasikia vilio vyetu .Maana vizinga vimezidi tunaomba serikali tukufu isikie ombi letu kuzuia message za kuombwa pesa from mademu,michepuko
Tukitangaziwa uwasajili hao mademu au michepuko ili hilo suala litekelezwe, utakubali?
 
Haya malalamiko yamekua mengi sana humu ndani, wakituma sms we kausha shidaa iko wapi. Pole sana!!
Hivi nani Mwenyekiti wa Chama cha Wapiga Vizinga Tanzania (CHAWAVITA) kwa sasa? Tangu SHISHI ajiuzulu sijui nani anakaimu?
 
Cha msingi ni kuzima simu

Au kutopokea simu na kujibu message

Pia nisisitize kutojibu message zinazoanza na baby nikwambie kitu

Pia akikwambia leo naumwa au naskia njaa usiendelee kuchati au kuhoji

Msemaji mkuu

Uwabata

Pobox: sina kitu 3000 dalisalama
Hahaha ukihitaji kuchakata itakuaje?au ndio tununue zile zinazojiuza?
 
Back
Top Bottom