Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moja kwa moja kwenye mada Huu ni ukweli mchungu, ndoa za kiislamu au makabila yanayoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmja zinadumu na zina amani kuliko ndoa za kikristo.
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone. Changamoto ni kukaa na...
7 Reactions
127 Replies
9K Views
Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya...
28 Reactions
125 Replies
15K Views
Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka...
9 Reactions
109 Replies
11K Views
Katika mahusiano zipo zile up &down sasa inapotokea unaamua kumpiga mtu wako chini moja kwa moja na bado unaona anaendelea kukukera kwa namna moja ama nyingine unaamua umpige block kwenye mitandao...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa...
5 Reactions
58 Replies
10K Views
Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23] Imeshawahi...
11 Reactions
78 Replies
8K Views
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume. Mnapo kula chakula kwa...
15 Reactions
120 Replies
11K Views
In your past relationships, have you've been.. Cheated on Disrespected Lied to Unappreciated Taken advantage of If these patterns follow you from relationship to relationship, ask yourself -...
2 Reactions
7 Replies
830 Views
Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a...
33 Reactions
90 Replies
9K Views
Za Jumapili wapendwa, Kama muwazima basi ni jambo la kumshukuru Mungu, ila kama unaumwa pole sana meza dawa muombe Mungu atakuponya haraka, Niende kwenye Mada, Mimi Zero IQ siku hizi sijielewi...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimefanya kauchunguzi kadogo nimegundua kuwa watu wengi wanaoishi dar, wanawabagua ndugu zao wanaoishi mikoani..sijui hii inatokana na nn..
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu! Sina uzoefu sana, oops nina uzoefu kidogo kuhusu hili. Kukaa sehemu moja kila siku kulala kuamka wote kunapoza baadhi ya mitambo na kukosa chachu. Fikiria venye umekuwa ukisafiri na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wahenga wana msemo usemao lisemwalo lipo kama halipo laja, huwa jamii yetu wanasema jamii ya watu wanaofanya kazi za udereva haswa wa safari ndefu huwa wana tabia za uzinzi sana. Maneno haya yapo...
8 Reactions
51 Replies
7K Views
Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili. Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa...
3 Reactions
158 Replies
12K Views
Habari gani ndugu wana Jf Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa? Hapa unakuta...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita. Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha. Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomba niende kwenye mada yetu: Nina mpenzi wangu ambae kila tukiwa faragha michezo yote tutacheza na kwa style zote, lakini kuna hii style moja naona napataga wakati mgumu...
10 Reactions
116 Replies
39K Views
Back
Top Bottom