Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Swali!! je, mwanamke anaekuomba hela au pesa anakupenda au hakupendi, jibu linaweza kua Yes au No kutokana na mazingira Muktadha wa mahali husika Mimi nikiwa kama mchunguzi wa saikolojia huru...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
Nimeshachoka kuchakata chakata bila sababu ya msingi, Leo nimekuja kwenu waungwana Nipo Natafuta mke wa kuoa ,, Sina vigezo vingi kigezo ni kimoja tu awe anapumua tu Tosha , Awe muislamu ...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Nataka kumuacha huyu mchepuko ila nashindwa. Kuna wakati tunakasirishana akiwa mbali, mpaka inafikia hatua ya kusema simtaki. Ila tu akionekana karibu na macho yangu tu nimekwisha,najikuta...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Nipo kweli mahusiano almost two years sasa! Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha! Kasoro zake! Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako. Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MKASA WA KWANZA: Unanihusu mimi mwenyewe Naanza na rafiki yangu: Juzi jumamosi nimeamka salama, baada ya kufanya mambo yangu nikaona ngoja nimtembelee jamaa mmoja hivi ni rafiki yangu sana...
15 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini. Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku. Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi. Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa...
16 Reactions
91 Replies
12K Views
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye...
18 Reactions
58 Replies
14K Views
Habari wana JFs MMU. Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa(...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Asalam aleykum Wakati tunaendelea kujikinga na ugonjwa wa Covid-19. Naomba kutoa maoni yangu. Uyachukue au uyaache lakini ukweli u-prevail. Kihistoria ya human evolution toka maisha ya enzi...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Ngoja leo tuongee na wanaume tuliooa wanawake wazuri kuona tunakwama wapi. Jana katika pita pita zangu mitaa ya kishua nikaibukia uswazi kwetu. Nikakutana na mwanadada Mashaallah analia huku...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje...
10 Reactions
90 Replies
17K Views
Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa. Hivyo leo nimeona nije na uzi huu...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunaposema "WANAWAKE WANAOJIELEWA" hua tunamaanisha wale wadada ambao wameajiriwa ama wamejiajiri wanajilipia bills na kuendesha maisha yao wenyewe.. Sio nyie watoza...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa. Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa...
7 Reactions
24 Replies
47K Views
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela...
14 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari za leo waungwana. Leo naomba tujadili hii kitu. Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom