Kwanini watu wengi wanaoishi Dar, hawapendi ndugu zao wanaoishi mikoani?

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,285
2,000
Mkuu samahani wewe una ndugu wa ngap huko Dar ambao wameonyesha kutokupenda
 

Cesar Saint

JF-Expert Member
Nov 18, 2016
376
1,000
Maisha yanabadilika na hivyo jifunze kubadilika pia mambo ya kujenga chuki na majungu kwa ndugu yako hayakusaidii kitu
 

City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,004
2,000
Ni wewe na ndugu zako ndiyo hampendani.

Wenzio tunapendana na ndugu, jamaa na marafiki zetu walio mikoani.

I moved your cheese!
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,688
2,000
Nyie wenyewe hamtupendi wa Dar. Sema mnataka kujisogeza ili mje huku.
 

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
7,030
2,000
Kila mtu ana ndugu dar


Kila mtu anaishi au alishawahi kuishi darKila mtu anaenda au anasafiri dar maisha mikoani yakimpiga


Ametia mimba mwanafunzi huku misungwi mwanza kakimbilia darBodaboda mtaani wamekata watu mapanga wamekimbia dar kuepuka msalaShule zimefungwa au chuo eti naenda dar kwa sisterMwanangu hauna kazi unajishindwa hata kwenda kuwa mwizi dar "utawaskia wazee wakisema
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,736
2,000
Sababu zaweza kuwa nyingi:

Mfano;

Choyo,

Wengine wanakwepa husuda na maneno Maneno yatakayosambaa kwa ndugu na watu bali

Ndugu Wengine wachawi au mama zao wakijua mna Neema nyumbani wanatafuta kukuharibia

Kuishi na watu au mgeni kuna udhia mwingi.

Cha msingi maisha ni popote yanawwza kuchanua bora kufanya kazi kwa bidii.

Kuna watu wanalima lakini maisha yao mazuri wanabadilisha milo na mboga wakiwa vijijini na hawamlaumu ndugu yeyote aliepo Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,426
2,000
Wewe achana na watu wa Dar, utaonana nao December wakija huko mikoani! Fanya kazi kwa bidii mpaka watu wa Dar wakutafute wenyewe
 

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
1,356
2,000
Kila mtu ana ndugu dar


Kila mtu anaishi au alishawahi kuishi darKila mtu anaenda au anasafiri dar maisha mikoani yakimpiga


Ametia mimba mwanafunzi huku misungwi mwanza kakimbilia darBodaboda mtaani wamekata watu mapanga wamekimbia dar kuepuka msalaShule zimefungwa au chuo eti naenda dar kwa sisterMwanangu hauna kazi unajishindwa hata kwenda kuwa mwizi dar "utawaskia wazee wakisema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mzee anayeweza kusema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom