Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Katika mahusiano zipo zile up &down sasa inapotokea unaamua kumpiga mtu wako chini moja kwa moja na bado unaona anaendelea kukukera kwa namna moja ama nyingine unaamua umpige block kwenye mitandao yote ya kijamii.
Sasa inaweza ikatokea wakati akili yako inamkumbuka kwa kasi hadi unatamani unblock maisha yaendelee lakini unakaza tu lkn moyoni unaumia.
Je, wewe uliwezaje kupambana na hii changamoto na ukashinda?
Sasa inaweza ikatokea wakati akili yako inamkumbuka kwa kasi hadi unatamani unblock maisha yaendelee lakini unakaza tu lkn moyoni unaumia.
Je, wewe uliwezaje kupambana na hii changamoto na ukashinda?