Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana MMU, Binafsi kuna kitu kinanisumbua akilini mwangu, nimepanga nyumba moja chumba na sebule, nyumba hiyo ina wapangaji wanne kabila la kihaya... Wote tuna wake na familia ila...
2 Reactions
84 Replies
10K Views
Kwa wanawake sijui siwezi kuwasemea maana wao wako free kupata Mwanaume Muda wowote km ni genye wakazitoa yaani kiufupi wao ndo ma controler wa mahusiano...ila kwa wanaume naweza kujisemea sisi...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60. Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota...
8 Reactions
47 Replies
7K Views
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa. Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu...
49 Reactions
188 Replies
13K Views
Habari Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Ni mkristo, naishi Dar. Natafuta mume wa kunioa. Kwa aliye serious karibu PM.
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi...
9 Reactions
243 Replies
15K Views
Habarini ndugu zangu. Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
A salaam aleyqum wakuu. Hongereni sana na michakariko ya kutwa. Naomba radhi kwa nitakaowakwaza japo sina nia ovu moyoni bali katika hali ya kushea na kujengana na kushikana mikono ili kila...
22 Reactions
55 Replies
9K Views
Habarini Wana MMU, Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani. Appetite ya kuwa naye imekata...
29 Reactions
108 Replies
12K Views
Nimetokea kumpenda Dada mmoja hivi ila ni muhudumu wa bar,sina uzoefu sana na watu hawa ila tangu nianze nae uhusiano ni mwaka sasa kila aikitoka kuuza huwa anakuja home kulala muda ule wakufunga...
5 Reactions
68 Replies
11K Views
".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?" RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza. Rais...
15 Reactions
76 Replies
8K Views
" Huyu dada amekuwa akiandika kwenye mitandao kuwa nmemtelekeza na kwenda chumbia mwanamke mwingine. Nlianza naye mahusiano nikiamini angekuja kuwa mke wangu.nliepuka kwa muda mrefu kufanya naye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni. Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda...
8 Reactions
221 Replies
19K Views
Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi. Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi...
16 Reactions
104 Replies
9K Views
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]. Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi...
13 Reactions
88 Replies
10K Views
In some cases, when we spruce up and check our look in the mirror, we begin grinning and respecting our outfit particularly on the off chance that we understand that we look beautiful Our...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Ni muda kidogo sijaonekana humu Ila nimeludi Niende moja kwa moja the issue iko hivi Nina mpenzi wangu tuna miezi kama 5 hivi. Ana malengo ya kunioa ananipenda sana najua...
7 Reactions
176 Replies
17K Views
Back
Top Bottom