This practice does not conform to the norms and values of the society, particularly the African society.
This practice is now so common in public places like in churches and offices. Indecent...
Nimekaa Zangu Lonely naangalia VIDEO MUSIC mbalimbali. Nimefika kwenye video ya nyimbo ya OTILE BROWN - Hi. Nmestack hapo mara kadha wa kadha.
Nmeshaweka repeat Hii video ni mara ya 5 Sasa Niko...
Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana!
Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la...
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo.
Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe...
Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....?
Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine...
Wasalam wana Jamvi!
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tukimalizia weekend yetu murua kabisa!!
Niweke mada mezani bila kupoteza muda!
Siku ya leo nimefanya kitendo ambacho sikuwahi...
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa...
A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa...
Iwe wapo katika uchumba, au wapo katika ndoa (na wana watoto) au ni uhusiano wowote wa kimapenzi. Wapendanao wamekua wakiachana kirahisi sana nowadays, mpaka sisi ambao hatujaoa tunashangaa.
Nini...
Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika.
Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona...
Sio maneno yangu lakini nakubaliana nayo. Baadhi ya watu hudhani akimpenda sana mtu mwingine bas ni lazima ampate au aoane nae. Maisha hayako hivyo, wakati unapanga na mwenzako anapanga, na Mungu...
TUNDA
Tunda nimelitungua, chini puu!
Tunda nikalichukua, mikono juu!
Tunda ninalingatua, utamu huu!
Tunda ninalilambua, uhondo mkuu!
Tunda linanizingua, kwenye miguu!
Tunda nimelibanjua...
Jirani kaja kalewa kaanzisha varangati kwa kumtuhumu mke wake kuwa mtoto wake wa nane hajazaa nae. Ni zao la huyo mwanamama mkimya kuchepuka.
ugomvi ukaenda hadi saa sita usiku kukawa na...
Morning.
Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake.
Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa...
Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu.
Kwa hakika...
Wakuu hamjambo? Leo nataka niongelee juu ya mikao ya mtu na maana yake na vile inavyoweza kusaidia kujua tabia yake mnapokuwa katika maongezi, Kwa kutazama picha hapo chini kama nilivyoanisha...
Wadau wa JF
Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa
Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao
Niwashukuru kwa dhati...
Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU?
Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.