Wanandoa: Mwenza wako akiwa na safari zisizoeleweka usichukie, ni kwa faida yenu

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,510
27,004
Ndugu zangu!

Sina uzoefu sana, oops nina uzoefu kidogo kuhusu hili. Kukaa sehemu moja kila siku kulala kuamka wote kunapoza baadhi ya mitambo na kukosa chachu.

Fikiria venye umekuwa ukisafiri na kuwa mbali na ubavu wako, siku ya kurudi mapokezi huwa ni shangwe sana. Hata kama ni siku tatu tu zimepita.

Bila hivyo unaweza kukaa mwezi bila kusikia 'kiwi' kabisa, au utakula kutimiza jukumu tu. Nasema uongo! Kwa wanaoelewa hali hiyo, huwa wanatengeneza mazingira ilimradi tu 'kumisiana'.

Pengine bila sababu za kutosha kumweleza mwenza wake, hivyo wengi huishia kukasirika na kuhisi vitu hasi. Yote hayo ni kwa faida yenu wote. Ukipenda kitu utatafuta namna bora ya kukifurahia.

Imeisha hiyo.
 
Hahahaha hahahaha hahahahahaha hahahahaha dah
 
Inategemea mtu na mtu, kuna mwingine akitoka "it is a good day" akiwepo nyumba utadhani vipaza sauti vimehamia ndani...
 
Back
Top Bottom