Kwanini tunasema mwanamke anaekuomba hela hakupendi

Kwanini tunasema mwanamke anaekuomba hela hakupendi

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
326
Reaction score
627
Swali!! je, mwanamke anaekuomba hela au pesa anakupenda au hakupendi, jibu linaweza kua Yes au No kutokana na mazingira Muktadha wa mahali husika

Mimi nikiwa kama mchunguzi wa saikolojia huru. Bwana Emmanuel naweza kusema.

Ni wazi pesa ndio kila kitu kwa asilimia kubwa ya maisha ya mwanaadamu kila mtu anaamini akiwa na pesa basi anaweza ku-afford kununua vitu vingi ambavyo vinaweza kuuzika ili tu kuifurahisha nafsi yake.

Lakini mwanamke hasa hasa wa Kiafrika sitaongelea wazungu kwasababu sijaishi nao sana, mwanamke wa Africa anaamini pesa ni muhimu kama sisi wanaume tunavoamini lakini ukweli pesa kupatikana ni ngumu sana.

Sasa mwanamke yeyeto ambaye atavutiwa na mwanaume hua anakua mgumu sana kuomba pesa kwa uoga kwamba anaweza kumkwaza yule ampendaye akamkosa kwa sababuwanaume hua anawaza vitu vingi sana mwanamke anapo muomba pesa mwanaume anaishi kwenye mazingira ambayo kila siku anasikia fulani katuma na ya kutolea demu hajaja, fulani katuma vocha lakin hapigiwi hata kuchat hawachati fulani kamsomesha mwanamke aliempenda lakin kafika chuo kamaliza kaolewa na bwana mwingine

Moja kwa moja mwanaume atakaposikia issue ya pesa tu anawaza NAPIGWA hapa.

Na hii inawakosesha wanawake wengi sana wanaume au wenza walio bora wa maisha yao kuishi maisha ya kuiga

Mwanamke kasikia buana nilimpiga yule mwanaume shosti yangu hela ya kusukia laki na nusu nywele zenyewe za elfu 15 huyu nae anaondoka na wazo lile analipeleka kwa mwanaume aliekua anawaza kua na future nae mwisho wa siku ana aachwa pasipo kufikiria rafiki yake landa alifanya vile kwasababu ni mdangaji hahitaji future na mwanaume yule.

So wanawake lazima wawe makini hapa.
 
wanaoomba kwa kukomoa ndo changamoto , na sio vibaya mwanaume kutoa ila akitoa bila kuombwa inasaaauuuundiiiiii gudiiiiiiiii....changamoto ni kwenye kujiongeza kutoa pesa ....
 
Utamaduni mbovu Tu wa kuacha wadada wajitafutie...

Turudishe utamaduni wa zamani..
Mwanamke ni mzigo wa Baba yake
Au Kaka zake
Au watoto wake wa kiume wakubwa...

Mkitaka wajitegemee lazima waombe hela
asante sana mkuu, sijui kwanini mabinti wengine au wadada wengine wanafikiri kupta mume au boyfreand ni sawa na kupata ajira,
 
Back
Top Bottom