Nataka kumuacha huyu mchepuko ila nashindwa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,180
39,948
Nataka kumuacha huyu mchepuko ila nashindwa.

Kuna wakati tunakasirishana akiwa mbali, mpaka inafikia hatua ya kusema simtaki.

Ila tu akionekana karibu na macho yangu tu nimekwisha,najikuta napindua maamuzi na kusema 'I love u honey'. Nakosea wapi wakuu?
 
Back
Top Bottom