Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
546
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto. Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza muda tukaanza romance. Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.

Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata! Papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani!

Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwanini mdada anayejielewa papuchi itoe harufu kali dizaini hiyo?

Wadada embu tupeni majibu. Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo.
 
Kosa ni lako wanawake wengi wanapotoka wanakuwa wameshaoga kwaiyo wanajiona wako Safi tayri ni jukumu lako kumkumbusha kujisafisha tena akifika chumbani mueelewa ataelewa siyo kila mtu anajua mtu kama ni mpenzi wako unamkumbusha pale Hali unapokuwa si shwari
 
Unafikiri kama na mwingine atakua amepitia ulichopitia itakupa nafuu?
 
I think ni Candida hizo i.e ana candidiasis or bacterial vaginoisis..na harufu huanza pale ambapo anaanza kuwa wet.

Ungemshauri aende hospital ili asije tena kufadhaika in the near future.
 
Back
Top Bottom