Kutomtamani Mwanamke kingono kwenye mahusiano kunamfanya apoteze kujiamini?

Professor jr

Member
Apr 24, 2019
30
28
Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa.

Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano ukaonesha hamuhitaji au humtamani mwanamke wako kingono inamfanya apoteze ujasiri na kujiuliza maswali mengi sana.

Sasa kwenye mahusiano wanaume wengi wamekuwa wakionesha kumtaman sana mwanamke kingono na hii Imekuwa silaha kubwa sana kwa wanawake wengi maana wamekuwa wakitumia hii kama njia ya kupiga mizinga na ndio maana karibu kila mwanamke huhitaj nauli pale anapo enda kwa mwanaume.

Lakini uhalisia mwanamke huwa anashidwa kumtafsiri mwanaume ambaye haonyeshi kumtaka kingono kwenye mahusiano hii inafanya wanawake wengi wakose cha kufanya na kuhisi labda una mwanamke mngine.

Kwa maana wao huamin mwanaume lazima amtaman hvyo kutofanya hvyo kunafanya abaki na taharuki asijue cha kufanya.

Mwisho napenda kuasa vijana wa kiume kutumia hii elimu ndogo kutengeneza akili za wanawake wao hawataki kuonyesha ngono inakupelekesha sana hii itafanya upigwe sana mizinga.hii pia itasaidia sana kuongeza productivity kwa wanawake wengi kwenye mahusiano maana lazima ajiongeze .
 
Kwa hio unatushauri tusiwe tunaomba game, tuwaache wao ndio wawe wanatubembeleza na kuomba tukawagonge?
 
Ile mwanaume anakutaka yaani, akikuona tu akili zinahama.
Basi leo nimemtamani mtu jamani loh halafu nilikuwa namkwepa kila mara...dah nahisi kulegeza. Ana sumaku si bure
Kimasihara Demi...

Akutamani, halafu macho yake yapo busy kukucheki cheki mara kifuani, mara mijicho kwenye mawowo, huku mishipa ya damu imemsimama inaonekana.....ooohhh that's sexy.

Sasa hapa watu ati wako wakishauriana kutomtamani mwanamke.....woiiiii nauza royal honey!!!
 
Kimasihara Demi...

Akutamani, halafu macho yake yapo busy kukucheki cheki mara kifuani, mara mijicho kwenye mawowo, huku mishipa ya damu imemsimama inaonekana.....ooohhh that's sexy.

Sasa hapa watu ati wako wakishauriana kutomtamani mwanamke.....woiiiii nauza royal honey!!!
Na yeye ananitamani.
Mrefu, mwembamba...
Macho yake sasa uwiii nakojoaaaaa. Nikiweza kushinda hiki kishawishi naokoka.
 
Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa.

Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano
Ukionekana unapenda ngono sana utapigwa mpaka uchakae. Labda ule shavu la UDED au UDAS vinginevyo utakuwa unalalamika miaka yote maisha magumu. Kumbe unahonga sana
 
ila jaman kutamaniana kunaongeza ladha ya mapenzi.. ukikaa mahali hivi wakumbukia yaan mpaka rahaaaa
 
Back
Top Bottom