Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sio roho mbaya ila wote tuko tofauti, kunamuda unakutana na mtu naturally unaona kua your iceberg and his or hers doesn't click , yani mfano mchumba ni mzuri kitabia ila mama au baba au ndugu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa endapo watatengana, mfano, Mke kama amekuta mmewe tiari kuna mali anamiliki mfano, nyumba je ikitokea mmetengana na hamkua na watoto mke...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Siku za karibuni nilienda kijjin kwetu nikakutana na katoto kazuri tu nika katongoza akakubali lakini sasa cha ajabu hataki nimpe huduma mfano juzi alipatwa na msiba mjomba wake alifariki hakuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke. Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu! Leo nimeghadhabika sana baada ya kukuta kundi la washikaji wanaopiga stori, nikaingia kati yao mara wote kimyaa! kama dakika 4 hivi! Nimekasirika sana aisee nikaamka na kuenda zangu. Hii...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa. Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao! Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Ila jamani sikutegemea kama ningeleta umbea wa namna hii kwenu wakuu ni basi tu kuna vitu nimefikiria vinafurahisha mnisamehe. Iko hivi jamaa ana mke wake ambaye ni mama wa nyumbani wana mtoto...
20 Reactions
55 Replies
7K Views
Hello ladies and gentlemen, hope all is well with you. Folks, without wasting time, would like to share my confession & experience regarding big butts during copulation. Honestly, big buttocks...
4 Reactions
78 Replies
7K Views
Habari ya mda huu Naomba wanaume tusiwe na tamaa, ni hivi Huyu mwanamke (25yrs) tumejuana miezi minne, Ijumaa ameomba aje home, nikasema siyo mbaya njoo, kwa kuwa siku hiyo mi nilikuwa naingia...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah. Nikiri katika mahusiano yote...
14 Reactions
220 Replies
16K Views
Habari za mida wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio...
49 Reactions
407 Replies
39K Views
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38 Elimu yangu ni Degree. Dini yangu Mkristo. Niko single. Nipo Dar. Sifa za mke awe na umri kuanzia miaka 30 -45. Awe Mkristo pia lazima awe Dar. Aliye...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
1. Travel together. 2. Make sure you have seen each other at worst and are okay with it. 3. Figure out what you both consider as cheating. 4. Understands each other values especially about...
13 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari ya jumamosi wananzengo wenzangu Naandika thread hii mbele yenu mnipe ushauri nini nikifanye au tiba gani Kwanza nikiri tu kwamba wiki chache kadhaa hali Yangu kiakili imebadilika nimekua...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi?? Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud...
21 Reactions
1K Replies
72K Views
Nipo na mpenzi Wangu ambaye ninaamini ndie nampenda kuliko wanawake wote na ninamatarajio ya kufunga naye ndoa. Mara kwa mara huwa anakuja kulala kwangu hata Siku 2 na kurudi kwao. Juzi...
4 Reactions
218 Replies
23K Views
Najua ni ngumu baadhi ya vijana kunielewa ila ninachotaka kusema ukiwa kama kijana una girlfriend wako ambaye amekuzidi kielimuu, amekuzi kipato au ana uwezo mkubwa wa kifedha Kitu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Back
Top Bottom