Hii ndio maana ya wanawake wanaojielewa

Hii ndio maana ya wanawake wanaojielewa

Imeandikwa wapi kuwa wanawake asili yao ni kupokea tu?
Tunaanza na utaratibu wa kutoa mahari, baadhi ya dini na mila mwanamke hatoki nje huduma zote analeta mwanume, na baadhi ya vitabu vya dini mwanamke hatambuliki wala kuhesabika(anatambulika kupitia mwanaume.)
 
Tunaposema "WANAWAKE WANAOJIELEWA" hua tunamaanisha wale wadada ambao wameajiriwa ama wamejiajiri wanajilipia bills na kuendesha maisha yao wenyewe..
Sio nyie watoza ushuru.[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
sentensi ya mwisho hiyo khaa!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom