Nlikuwa chuo miaka ya nyuma huko naishi na jamaa mmoja mkwavi sana, yule mkambala alikuwa ana tabia za kijuvi na kibazazi hasa. Alikuwa akianza kufahamiana na mwanamke anaenda kwenye kabati lake...
Habar wakuu,
Kwanza niseme TU kisa hiki ni Cha miaka mingi ya nyuma sn ilopita ya ndoa yangu na MKE wangu MAMA G.
Kiukweli miongoni mwa ndoa zilizopita misukosuko mingi miaka 5 ya kwanza ya...
Andika umri wako na mahali ulipo.
N.b usizidi miaka 22
N.b kama single mother uwe mzuri
N.b ujue nahitaji nini kwenye mahusiano
N.b ujue kupenda
N.b nitakupenda na kukujali
Hebu tukumbushane hapa wadau ilikuweje mpaka ukajikuta unatembea na mpangaji mwenzako?
Yangu nakumbuka miaka ilee ya tamthilia ya sultan.
Yule mdada alikua anapenda sana kufatilia tamthilia ya...
Nani yupo kwenye age ambayo baba wa makamo anakutaka na watoto chini ya miaka 25 wanakutaka?
Vyovyote unavyofanya kwenye maisha hakikisha unafanya mazoezi
Usiache
TUPAC SHAKUR: PICHA MOJA, SOMO MOJA KUBWA KUHUSU URAFIKI, USALITI NA MAADUI WALIO KARIBU
“All your skinfolk ain’t your kinfolk.”
— Msemo unaobeba uzito wa maisha ya Tupac Shakur
Kuna picha...
Nimekuwa nikiwasiliana na kijana mdogo mwenye aliepangiwa kazi huko Mbeya, katika story za mambo ya maandalizi ya kuoa yeye anapenda kuoa mwanamke ambae hana mtoto lakini kalalamika hapo Mbeya...
Wakuu habari !
Maisha kwa mwanaume kamwe hayajawahi kuwa rahisi in everything. Unatoka alfajiri na mapema kwenda kusaka mkate wa familia then unarudy om unakutana na makelele kutoka kwa wife 💔...
Hey people,
Good evening
Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Sababu ilikuwa ni ipi?
Naanza,
Wakati nasoma niliwahi kupendana na mtu ambaye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, baadae akaja niambia...
Huyu demu ni mzuri na anaonekana very decent kwa nje. Msukuma wa Shinyanga. Mimi kiukweli niitegemea ngekaa kwake kwa utulivu but baadaye nikaja ona ana ujanja wa kishamba.
Mimi nlikutana naye JF...
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake
Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically...
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
mwaka huu umeanza vibaya sana kwangu ndugu zangu, yaan yaliyonikuta ni mabaya sana nataman hata nijitie kitanz tu...
Ni kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya...
Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio...
Ni habari ya zamani sana huko kijijini sitimbi lakini hadi leo nacheka sana nikikumbuka!
Ilikuwa hivi, kuna binti mmoja kijiji cha jirani alikuwa hataki kunipa mchezo, nikachoka...
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni...
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.