Hauwezi ukanunua upendo!!!

Hauwezi ukanunua upendo!!!

Kaka maasai

Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
68
Reaction score
159
Daima upendo ni hisia nauwezi ukafosi ata kama unapesa upendo hautakaa kamwe upatikane
 
Daima upendo ni hisia nauwezi ukafosi ata kama unapesa upendo hautakaa kamwe upatikane
[scenario]
  • Mwanamke kaolewa na asiye mpenda ( wazazi walihusika)
  • Mwanamke kaolewa akiwa na Mimba ya wiki kadhaa toka kwa aliyempenda ( Maskini)
  • Mwanamke alipo hitaji mtoto wa pili - Alimtafuta yule yule ampendaye ampe mimba - kwa kigezo hataki watoto wachanganye damu za baba tofauti.
[Haya si yangu] Ni dondoo toka kwe nye hili sakata:
1785733642917.png
 
Back
Top Bottom