Sijasema kuwa kuna kaharufu ka wale watu wa upinde sio😊😊😊?.
Uchochezi huu 😁Sijasema kuwa kuna kaharufu ka wale watu wa upinde sio😊😊😊?.
Una traumaSiwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
Maisha yako, uamuzi wako.Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
Ndiomkuu umeweka alarm ikuamshe ukatae kuoa kila siku asubuhi...