Ushauri wa mama!!

Ushauri wa mama!!

Nasian Ressy

Member
Joined
Jul 12, 2026
Posts
81
Reaction score
175
Mama yangu ulifunza kuwa ndoa mbovu na haina dhamana.

Ila ulinieleza na mimi nitafute mwanamke anizalie watoto ila nisimuoe.

Asante mama kwa ushauri wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom